Rais Magufuli aliposema nchi hii ina pesa, fahamu hili na lingine lililojificha usilolifahamu

Binafsi nna akili timamu,naona kinachoendelea hivyo haiitajiki nguvu ya ziada kuniambia kuhusu awamu ya tano.mtoa mada we endelea kusifia na kudanganya wajinga.
 
Mara baada ya kuapishwa na kuanza kazi ya kulitumikia taifa ,rais Magufuli alieleza mipango yake madhubuti ya kulikwamua taifa kutoka katika lindi la nchi maskini ,ombaomba,
Akianza kwa kupunguza safari za kwenda nje kutembeza bakuri,safari ambazo zilifanywa na awamu ya nne ya Muheshimiwa Jakaya Kikwete ,mpaka ikafikia hatua akaitwa Vasco Dagama.

Wakati rais Kikwete alipokua nje ya nchi akitafuta misaada kwa nia njema kabisa ,alipoipata ,kwa maana ya kuletwa nchini, haikusaidia taifa ,kwani iliishia mikononi mwa wajanja wachache,walioitengenezea matumizi hewa,ilipigwa na kuingia mifukoni mwa baadhi ya watumishi wa umma waliokua si waaminifu.
Hii ndio maana mpaka leo kuna viongozi baadhi ambao wanaukwasi usio kua na maelezo sahihi kulingania na utumishi wao serikalini,hata wakifuatiliwa kwa kudai upande walijishughulisha na biashara,mara nyingi proof hukosekana.

Rais Magufuli aliwahi sema hawezi kwenda nje kutembeza bakuri ,wakati nchi ina pesa,

Pamoja na mipango mingi ya kuzuia mianya ya upotevu wa mapato na kubuni vyanzo,alikusudia pia kurudisha pesa ya serikali iliyo mikononi mwa baadhi ya watumishi wa serikali na wafanyabiashara wasio waaminifu,ambao wamelihujumu taifa kwa muda mrefu,na walikua juu ya serikali,wakiamua watakalo,"above the law"

Niishukuru serikali ya awamu ya tano ya rais Magufuli kwa kurudisha raslimali fedha ,assets,ambazo kwa kweli ni kodi za wananchi ,zilizohodhiwa na wachache kinyume na taratibu za nchi.
Kazi hii rais Magufuli kaifanya na anaendelea kuifanya kwa ufanisi mkubwa sana,mungu ambariki sana.

Kiukweli lingekua jambo la kushangaza kwa rais kwenda kujiombeleza ughaibuni wakati wahuni wachache wanamiliki ukwasi usio na maelezo sahihi kwa mujibu wa katiba ya JMT.heko rais kwa kulifanyia kazi jambo hili bila woga wala aibu yoyote ile.

Kila jambo lina reaction yake,rais na serikali yake ya awamu ya tano wamekua wahanga wa jambo hili,kwani wanawagusa wale kwa kimombo "untouchable"yanaibuka makundi yawatetezi wa wanufaika wa wahalifu hawa kila kona kwa lengo la kumkatisha taama rais na serikali yake.

Hata hivyo msimamo wa rais kama amiri jeshi mkuu na timu yake hauyumbi ,wako imara sana .mimi na watanzania wema tunawatakia kazi njema .kwani matunda ya kazi zenu yanaokena wazi kabisa ,haiitaji tochi ya kuyamulika,mfano tu vituo vya afya,miradi mikubwa kama SGR, stigliers (umeme),elimu,viwanja vya ndege nk,
Maendeleo hayana chama ,tuungane kwa pamoja tuijenge nchi yetu,tumechelewa sana,tunatakiwa kukimbia,
watanzania mnajua na dunia inaelewa hivyo.

Good afternon every body

Sent using Jamii Forums mobile app
Wema wako uko wapiiii Mkuu??? Kwa kuunga mkono watu kuvamia CMG??
kwa kuminya demokrasia!???
Au kwa kuzuia dada zetu wenye ujauzito wasirudi shule(government schools) ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Vingi sana vya Kumpongeza.Piga simu Kijijini Kwako Ulizia Ndugu zako.Vipi Kuhusiana Na Huduma Za Afya Na Umeme Wa REA.Lazima kimoja ama Sio Vyote vimewafikia..Hapo Bado Elimu Bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha kudanganya wenzako kisa wanaishi mijini, vijijini kuna hali ngumu sana hakuna huduma rafiki za afya magufuli wanamuita muongo mdanganyi na hafai kabisa ni vikongwe hao wananena hayo.

Aliwadanganya kuwapatia pensheni weeee wazipate wapi na muda wa jiwe huoooo ukingoni, aliqadanganya rami itakuja ndani ya mwaka mmoja wa kwanza weeee hadi waleo kwakuwa watanzania wengi ni mafala walihadaika na ahadi za uongo za jiwe huyu mzee ana laan.a kwakweli
 
@Mikedean Tuacheni Unafiki wa Tz.Kama wananchi Wa Kiteto awafahamu Kuhusiana Na SGR.Basi waulize Kuhusiana Na Huduma Za Afya.Kiukweli JPM.Amejitaidi Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna huduma za afya wewe ni majengo tu yaliyopo na kuna vituo vya afya kibao havijakamilika hadi waleo.

Yani magufuli ni kama panya anadokokoa dokoa wala ahadi alizoziahidi wakati wakampeni hazitimizi SGR anadokoa hii kuisha kwake ni miaka mitano hadi saba nahisi bwawa la umeme ndiyo hilo nadhani ataondoka madarakani halijaisha.

Pensheni za wazee, Rami alizoahidi hovyohovyo, Tanzania kama ulaya anayoitaja hovyo kwa kusaidiwa na misri ambayo hata kwa SA haifiki hiyo ulaya titaifikia kweli?
 
Wewe acha kudanganya wenzako kisa wanaishi mijini, vijijini kuna hali ngumu sana hakuna huduma rafiki za afya magufuli wanamuita muongo mdanganyi na hafai kabisa ni vikongwe hao wananena hayo.

Aliwadanganya kuwapatia pensheni weeee wazipate wapi na muda wa jiwe huoooo ukingoni, aliqadanganya rami itakuja ndani ya mwaka mmoja wa kwanza weeee hadi waleo kwakuwa watanzania wengi ni mafala walihadaika na ahadi za uongo za jiwe huyu mzee ana laan.a kwakweli
Tupe mfano hai was hicho unachokisema,tafiti yako

Chuki za namna hii lazima utakua ni mchawi tu

Subiri uchaguzi 2020 ndio utajua status yake kwa watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe mfano hai was hicho unachokisema,tafiti yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mkoa wa Singida hakuna aliloliahidi magufuri amelitimiza hafi waleo, aliahidi lami kila kijiji alichopita hakuna hata changarawe wananchi wanazoziona, kuna vituo vya afya vimeachwa hewani tu hakuna vituo vya afya, takwimu wanazozitoa ni za uongo kupitiliza.

Hapendwi vibaya mno.
Nenda mkoani Shinyanga ukaone vituko huyu mzee anafanya vitu sehemu ambazo zinaonekana na wengi na ambako hawampendi kwa wapuuzi waliompa kura hakuna analofanya.
 
Subiri uchaguzi 2020 ndio utajua status yake kwa watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa wapiga kura wake majinga tu werevu hawawezi mpa kura mtu asiyetoa ajira, asiyekuza uchumi wa nchi alipotuacha kikwete sipo tulipo alituacha na 7.1% unajua sasa tuko wapi?

Ahadi zake mbona hazitimizi Viwanda mbona watanzania hatuvioni au hata watudanganye kuna mji wa viwanda mbona hatuuoni? Barabara za kuunganisha makao makuu ya wilaya tu zimemshinda hizo ahadi alizoahidi kama maharage za kujenga lami hovyo zimeishia wapi? Pensheni za wazee zimeishia wapi?
Ukinijibu maswali yangu tunaendelea na mjadala ukishindwa kunijibu kwa hoja 2020 magufuli atapata tabu ambayo hajawahi ishuhudia
 
Nenda mkoa wa Singida hakuna aliloliahidi magufuri amelitimiza hafi waleo, aliahidi lami kila kijiji alichopita hakuna hata changarawe wananchi wanazoziona, kuna vituo vya afya vimeachwa hewani tu hakuna vituo vya afya, takwimu wanazozitoa ni za uongo kupitiliza.

Hapendwi vibaya mno.
Nenda mkoani Shinyanga ukaone vituko huyu mzee anafanya vitu sehemu ambazo zinaonekana na wengi na ambako hawampendi kwa wapuuzi waliompa kura hakuna analofanya.
Acha siasa Maji taka,hatua alizochukua na kutekeleza ndani ya miaka minne waliopita hawakuweza kwenye tawala zao,sio Mimi, ni rais awamu ya pili,Mzee Mwinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom