Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Unaona majibu ya kishamba?
Kwa hiyo watu wanyamaze tu kwa kuwa huyo 'mbabe' ameamua? Kesho atakuja nyumbani kwako aamue kumchukua mke wako kwa nguvu na hata kusema tu usiseme chcocte juu yake.
Huyo 'mbabe' ni mtumishi wa waTanzania kama hujui.
Haujaelewa!!!!!!!
Ukitaka kujenga hoja ya kumuangusha aliyeko madarakani, weka hoja ya nguvu
Hajafanya homework yake na dawa yenu ni KUWAPUUZA
Umeniuliza swali ambalo nimemuuliza yeye!!! What a man, umejipambanua mahaba yako na side yako mchana kweupe
Nimemuuliza kuwa aweke hoja za what was conditions na interest za wachina, wewe mburura unataka mimi ndio ni take trouble ya kujibu hayo! Kwani mimi ndio nimeanzisha thread? Umepeleka wapi akili ya kujua thread was so shallow for him to jump into those conclusions
Sasa kwa akili yako ya kutelekezwa jalalani unataka mimi ndio kama niwe nimeanzisha thread
Nimekujibu kuwa kazi inafanyika, maamuzi yaliishatolewa, mimi sijaumia kuanzisha thread... Infact hata ukifuta hii post ujibu, usijibu nani anaumia?
Ila naamini kabisa kuwa, muanzisha thread akiweka point zake kama msomi, sio kama wewe mwenye slow processor kama mashine ya NIDA. Itabaki kuwa ni hoja, itaishi, itafunza wengine... Lakini sio kituko alichoweka hapa eboo!