Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
WasiomtakaMagufuli 2020 Mbele kwa Mbele, hutaki kunywa sumu.
Ila inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.
Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.
Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.
Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!
Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.
Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.
Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.
Queen Esther
Kama aliipokea ukiwa hoi bin taaban ,ilimpitisha vipi mpaka kuwa dikteta uchwara 2015 kwenye uchaguzi mkuu .Lumumba mtatunga ngonjera za kila aina ili kumbadili shetani awe malaika ,haya semeni musiba kashushwa na mungu kuwa mtetezi wa Yona a.k.a Jiwe .Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.
Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.
Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.
Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!
Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.
Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.
Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.
Queen Esther
Wacha ukauzuu hebu ondoweni zuio la kufanya siasa muone mnajitekenya na kucheka hamna chama hapo pana maslahi tuuWatu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.
Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.
Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.
Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!
Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.
Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.
Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.
Queen Esther
MKUKI KWA NGURUWEEIla inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.
Unajiabisha sana mkuuIla inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.
Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.
Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.
Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!
Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.
Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.
Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.
Queen Esther
"Inategemea in kwa jinsi gani unapambanua mambo"Wacha ujinga wewe! ccm ni ile ile ya wahuni, majizi, mafisadi na waongo wa kutupa na WAUAJI pia.