Hivi hivi navyo ni vipaumbele vyetu kwa sasa wakati hata dispensari na hospitali za wilaya na mikoa hakuna Panadol?
Eti?!
Hivi hivi navyo ni vipaumbele vyetu kwa sasa wakati hata dispensari na hospitali za wilaya na mikoa hakuna Panadol?
Na kweli watu wa chama chenu ni wapuuzi sana, wanafanyaje mambo bila kushirikisha chama? Na chama ni nani kama si watu wakiwamo hao wapuuzi?Ninachotaka kukwambia ni kwamba aliyafanya hayo yote bila kukishirikisha chama.
Afuate taratibu za manunuzi za nchi.Sawa,Mr Presida tunajua juhudi zako, ila wale wa kubeza utasikia ooooh mtumba
sio hosp haina pesa ya kununua panadol sera ya manunuzi ni lazima MSDNitajie hospitali mbili tu nikahakikishe kama panadol hakuna
tusiongelee kishabikiWatanzania wanaopenda kubeza kila jambo zuri linalofanywa kwa ajili ya nchi sasa hata Mungu atatulaani. Ni ajabu eti unasema hospitli hazi panadol hivi kweli wewe mzima.Mtatumiwa mtabaki kama maganda ya ndizi.
Magufuli anawakata kilimilimi chenu. Mmebaki kupayuka hovyo hovyo tu.
Magufuli anawakata kilimilimi chenu. Mmebaki kupayuka hovyo hovyo tu.
Hayo magonjwa yamekuharibu ubongoMagufuli anawakata kilimilimi chenu. Mmebaki kupayuka hovyo hovyo tu.
Pandisha kodi kwenye utalii halafu jaza hizo ndege uone nani atapanda,,wewe unaangalia upande mmoja badala ya pande zote.. acha u pwagu japo kosa si lako ni mfumo wa elimu yetu imekuaribuNo wonder unaitwa Ziro, unajua faida za ndege kwenye ulimwengu wa utalii??? Please kama hamjui si mkae kimya tu.....
Kupanga ni kuchaguaDawa MSD zipo???Wale Wahanga wa Kagera je ?
Ha ha ha, hilo ni jina langu tu: Magonjwa Mtambuka.Hayo magonjwa yamekuharibu ubongo
Kwani unaona ufahari kuwa mtumwa,PIA jk alikuwa anaongea nao jpm anakalimaniwa
Kama husafiri ni ww tu usidhani watu wote ni sawa.Najiuliza kama ndege ni kitu cha ajaba sana kwetu kias hiki, maana haingii akilini kung'ang'ania kununua ndege wakat watu ndani wanakufa njaa na hata zikija watatumia wachache...badala uingize pesa ndani zichangize mzunguko wa biashara through multiplier effect ww unapeleka pesa zote nje kama advance payment ya hzo ndege....hii nchi haitaisha sanaaa
lisikiliza malalamiko ya wananchi kwa makonda kuna hospitali hazikuwa na dawa.....Nitajie hospitali mbili tu nikahakikishe kama panadol hakuna
Yale yalitokea kwa sababu ya udhaifu wa Kikwete na utapeli wa Lowassa. Kwa Magufuli sahau.Ujinga wa Richmond ulifanyika chini ya Serikali ya CCM, na hata hii iliyopo ni ya CCM sasa tutausahauje?