Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

Safi sana mzee magu.Soon tutakuwa tnatumia usafiri wetu usio wa kibaguzi
 
Sawa,Mr Presida tunajua juhudi zako, ila wale wa kubeza utasikia ooooh mtumba
Afuate taratibu za manunuzi za nchi.
Kazi hiyo ni ya ngazi ya Afisa/Meneja Ununuzi pale ATCL, Wizara ya Ujenzi/Uchukuzi.
Twiga kaacha majani ya juu ya mti, anang'ang'ania ya chini. Lazima shingo itamuuma.
 
Nitajie hospitali mbili tu nikahakikishe kama panadol hakuna
sio hosp haina pesa ya kununua panadol sera ya manunuzi ni lazima MSD
ukosefu wa dawa upo sana unaweza ukawa na panadol huku syringe hakuna
hosp za wilaya zinachangamoto hizo
 
Air Tanzania orders one B787-8
[URL='http://www.ch-aviation.com/portal/news/51464-air-tanzania-orders-one-b787-8'] Boeing 787-8 Dreamliner © Boeing

20 hours ago
Air Tanzania (TC, Dar-es-Salaam) will add a maiden B787-8 to its fleet next year Tanzania's President John Magufuli has announced.

Following a meeting with Boeing (BOE, Chicago O'Hare) Director of Sales, Jim Deboo, in Dar es Salaam this week, Magufuli said his government has already made an initial payment for the aircraft, which is expected to be delivered on June 18, 2017.

As with the Tanzanian government's other purchases, the aircraft will be acquired by the TGF - Tanzanian Government Flight (Dar-es-Salaam) company which will, in turn, lease it to Air Tanzania.

The order follows that confirmed with Bombardier (BBA, Montréal Trudeau) this past weekend entailing two CS300s and one additional Dash 8-400.

Magufuli last month said he expected Air Tanzania to use its renewed fleet to begin longhaul flights to the United States, China, and Russia.

[/URL]
SOURCE;
www.ch-aviation.com
 
No wonder unaitwa Ziro, unajua faida za ndege kwenye ulimwengu wa utalii??? Please kama hamjui si mkae kimya tu.....
Pandisha kodi kwenye utalii halafu jaza hizo ndege uone nani atapanda,,wewe unaangalia upande mmoja badala ya pande zote.. acha u pwagu japo kosa si lako ni mfumo wa elimu yetu imekuaribu
 
Najiuliza kama ndege ni kitu cha ajaba sana kwetu kias hiki, maana haingii akilini kung'ang'ania kununua ndege wakat watu ndani wanakufa njaa na hata zikija watatumia wachache...badala uingize pesa ndani zichangize mzunguko wa biashara through multiplier effect ww unapeleka pesa zote nje kama advance payment ya hzo ndege....hii nchi haitaisha sanaaa
Kama husafiri ni ww tu usidhani watu wote ni sawa.
 
Damn,ilitakiwa aanzw Magu mnunua mapipa ndio afuate JK mkwea mapipa!ccm hesabu iko wapi?
 
Back
Top Bottom