Rais Magufuli akubalika duniani kote

Jamani Magufuli jembe, dunia nzima especially waafrika wanajuwa kuwa Magufuli ndiye rais anayefaa na ndiyo maana nchi nyingi hapa Afrika zinamlilia akatawale nchi zao na kutuonea wivu sie. Wababaishaji wajiue tu miaka hii.
 
Yap, kwenye kutawala sawa, ila sio kuongoza, unajua tofauti ya kutawala na kuongoza, the man knows how to conquer, but no idea on leadership!
 
Kunawatu akili zao kama zinakupwa na kujaa,zikikupwa ndo anaongea ujinga kamahuu! Unadhani SA wanamkubali kwalipi hasa? Kafanya nini chakuzungumziwa hko? kununua ndege?

Kenya tuu wanamadege,mareli tayari,mabandari nk. hawamsifu Rais na chama kila kukicha kama majinga ya sisiemu!! Kazi ya kujenga nchi inafanywa na wananchi woote sio chama,kodi tunalipa wrote na kazi tunaipiga pamoja wapinzani hawajafungwa mikono.

Muache maushamba na maujinga
SA wanaijua TZ na wanaiheshimu kwakukumbuka zama za Nyerere na ukombozi sio huyu hakuna wajinga wakuvutwa Shati kipuuzi hivyo.

Maisha yawe magumuuu,vijana kazi hakuna,viwanda feki,kilimo chini,demokrasia hovyooo alafu mseme mataifa yanamsifu hivi hamuoni hata aibu?

Ndio maana nchi haisogei hii kwanini msihame mtafute nchi yenu ninyi masisiemu
 
Siko upinzani mkuu but to be honest hivi vi thread uchwara vya kusifia daily mnaboa mkuu,mnafanya wote tuonekane bogus.
Kama umeumia sana kajinyonge ili upumzike. Mh. Rais Magufuli amepokelewa kwa bashasha huko S. AFRIKA ndiyo ukweli wenyewe kama hupendi pita kimya kimya tu mkuu!!
 
Uhalisia ndiyo unaosemwa hapa kuwa Wananchi wa S. Kusini wamempokea kwa shwangwe kubwa Mh. Rais Magufuli sasa hayo yako hayatuhusu. Ukweli utabaki ukweli tu.
 
[emoji23][emoji23]..dah leo sjui ntapata hata chapati za kula na chai
 
Magufuli ni malaika aliyeletwa na Mungu kuja kuikomboa Tanzania.
 
Nchi hii tuna upinzani wa madaraka sio upinzani wa mabadiliko.
 
Siko upinzani mkuu but to be honest hivi vi thread uchwara vya kusifia daily mnaboa mkuu,mnafanya wote tuonekane bogus.
Halafu hakushangiliwa JPM bali hakushangiliwa Tanzania.
Wa South wana historia na Tz. Hata angekwenda Nani na kutangazwa ametoka Tz lazima wangeshangilia sana. Lumumba kila kitu mapromo ya kiajabu.
 
Magufuli asepa na kijiji Afrika kusini, huo umati ulivyolipuka baada ya utambulisho ni ishara tosha
 
KARIBU BRO NAJUA KWAMBA WEWE NI MWANACHAMA MPYA TUNAKUKARIBISHA SANA
 
Halafu hakushangiliwa JPM bali hakushangiliwa Tanzania.
Wa South wana historia na Tz. Hata angekwenda Nani na kutangazwa ametoka Tz lazima wangeshangilia sana. Lumumba kila kitu mapromo ya kiajabu.
Acha ubishi wee bavicha
 
Kwani kushangiliwa kuna tatizo gani? Pale uwanjani kulikuwa na watu wa mataifa tofauti na watanzania walikuwepo sasa kuna ubaya gani kwa watanzania kumshangilia rais wao?
Bavicha hii sindano ya chroloquine+decrophenac imeuma eh!
 
Unatafuta ubunge wa kuteuliwa na na namba simu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…