Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais!

Mkuu post za watu woote baada ya thread hii ndio post inayoelewwka zingine ni kama zimeandikwa na wafia ccm
Mfano mdogo tu ..leo hii tunajifa.ya eti tunailaumu Marekani kuhusu MCC eti tupo huru tunataka kujitegemea! Mwaka mmoja uliopita serikali ilikuwa inajigamba Bungeni kuhusu msaada huohuo wa MCC! :),kuwa tupo vizuri hatutanyimwa ..Leo tumekuwa Taifa huru..kisa Mapinduzi Daima!
 
Mtoa mada ana roho ngumu au hayupo Tanzania.angalia utanaswa kimyakimya huyo ni Rais wa nchi ndugu yangu.
 
Hata wewe mleta mada hukujiandaa kabla ya kupost mada yako,angalia makosa mengi sana katika post yako.
 
Makosa="malimi katoro, post: 1kutojiandaamUrais2zm
55"]Hata wewe mleta mada hukujiandaa kabla ya kupost mada yako,angalia makosa mengi sana katika post yako.[/QUOTE]
Makosa yangu unalinganisha na kutojiandaa Urais!
 
Mimi nadhani raisi alijiandaa ila nashaka na wewe kama ulijiandaa na kujiridhisha wakati ulipokuwa unaandika hili andiko lako lenye walakini kimantiki
 
Nyie angalieni makosa ya spelling ila habari ndiyo hiyo,,! hakujiandaa ..mnatumia viwango vya chini mno kupima viongozi na viongozi!JIBUNI HATA HILI ALIPUNGUZA UKUBWA WA SERIKALI AU IDADI YA MAWAZIRI??!!
Watanzania tulimuamini, tukamchagua kuwa Mkuu wa nchi yetu,
 
Huyu mleta uzi kweli ni kiazi mbatata. Kwa uandishi wako tu unaonekana ni kilaza next level.

Nyie ndo wale mkisikia kuwa 'maisha ni safari' basi mnabeba mabegi kuelekea stendi.

Badala ya 'kuzungusha mikono', naona wewe ushaanza 'kuzungusha makalio'! Izo bangi zenu za kuvutia chooni mtakuja kuvaa brazia vichwani.
Kwahiyo mleta uzi ndio amegeuka kuwa mjadala!.
 
Mimi nadhani raisi alijiandaa ila nashaka na wewe kama ulijiandaa na kujiridhisha wakati ulipokuwa unaandika hili andiko lako lenye walakini kimantiki
Nini maana ya maana ya maneno kuwa alibeep? mwenzio anakiri hakujaandaa ww unasema alijiandaa !ndio nyie mnaotetea kila kitu ht kama ni matope @ Gentamycine analo jina lenu.
 
Wewe kuandika tu ni majanga, utapata wapi uwezo wa kujenga hoja na kumkosoa Rais Magufuli?

Utafahamu vipi tamathali za usemi wakati hata kuandika ni majanga.

Hii dunia ya Tanzania kwa sasa ina vituko!

Ujinga umekuwa werevu na werevu wamekuwa wapumbavu!

Kabisa ....na wewe ni mfano halisi wa wale weajinga
 
Nini maana ya maana ya maneno kuwa alibeep? mwenzio anakiri hakujaandaa ww unasema alijiandaa !ndio nyie mnaotetea kila kitu ht kama ni matope @ Gentamycine analo jina lenu.
Hahaaa asante, kama matope yanafaa kutetewa ntatetea tu.... Ukweli huwa ni mithili ya Dawa chungu ila una uzuri. Mmoja. Unatibu
 
Leo nimesikiliza hotuba ya Rais akiwa Chato. Mbali ya l endelea kujenga matumaini makubwa na ahadi kede2,ukiacha pia kiswahili kibovu alichotumia ,na kuchapia matamshi ya Kingereza cha kchombeza mfano,Division zero,anatamka zeero! Rais amekiri kuwa kaxi ni ngumu na hakujua hilo.Kwani yeye alikuwa anabeep tu na simu aking,"angania huko!Haya ni matamshiakubwa ambayo yanaeleza pia taswira ya utendaji wa JPM. Ni miezi 5 sasa Rais hajaonesha nia wala urashi wa kuonesha vision yake,hata hajaweka misingi ya kujenga mifumo ya utawala wake! TUNACHOKISHUHUDIA NI SIASA ZA KUPIGIWA MALOFI! Hii ni hatari na asipokywa makini ndio anguko lake,
.DAlili zi wazi..ameunda serikali kuwafurahisha wasiojua! Ukweli ni kwamba Wizara ni zilezile za Jk,ila kapunguza mawaziri..Wajinga watabisha,! Hata instrument za Wizara hizo hazipo.Mkuu kama ulikuwa unabeep,ndo hivo tena ,acha maigizo,!
Yani kwa namna hiii ya uandishi ndio mnamdhihaki Raisi!!!!
Kuandika hujui tena kiswahili sasa kingereza ingekuaje?
 
Mwenye clip hiyo jamani airushe tusikie kwa masikio yetu alichosema!
 
Vision namba moja elimu bure.
Vision namba mbili,umeme bei chini,
baada ya miaka 3,utamkubali tu
 
Leo nimesikiliza hotuba ya Rais akiwa Chato. Mbali ya l endelea kujenga matumaini makubwa na ahadi kede2,ukiacha pia kiswahili kibovu alichotumia ,na kuchapia matamshi ya Kingereza cha kchombeza mfano,Division zero,anatamka zeero! Rais amekiri kuwa kaxi ni ngumu na hakujua hilo.Kwani yeye alikuwa anabeep tu na simu aking,"angania huko!Haya ni matamshiakubwa ambayo yanaeleza pia taswira ya utendaji wa JPM. Ni miezi 5 sasa Rais hajaonesha nia wala urashi wa kuonesha vision yake,hata hajaweka misingi ya kujenga mifumo ya utawala wake! TUNACHOKISHUHUDIA NI SIASA ZA KUPIGIWA MALOFI! Hii ni hatari na asipokywa makini ndio anguko lake,
.DAlili zi wazi..ameunda serikali kuwafurahisha wasiojua! Ukweli ni kwamba Wizara ni zilezile za Jk,ila kapunguza mawaziri..Wajinga watabisha,! Hata instrument za Wizara hizo hazipo.Mkuu kama ulikuwa unabeep,ndo hivo tena ,acha maigizo,!
This is the most rotten thread I have ever come across as far as spelling and punctuality are concerned.
Go back to primary school pal and clear the spelling and punctuality issues before comming to this side.THE THREAD IS STINKING.
 
Wewe kuandika tu ni majanga, utapata wapi uwezo wa kujenga hoja na kumkosoa Rais Magufuli?

Utafahamu vipi tamathali za usemi wakati hata kuandika ni majanga.

Hii dunia ya Tanzania kwa sasa ina vituko!

Ujinga umekuwa werevu na werevu wamekuwa wapumbavu!
Jamani hizi degree huko vyuoni mnapewa bure au.....huyu nae Ni mwanaume Wa Dar
 
Wewe kuandika tu ni majanga, utapata wapi uwezo wa kujenga hoja na kumkosoa Rais Magufuli?

Utafahamu vipi tamathali za usemi wakati hata kuandika ni majanga.

Hii dunia ya Tanzania kwa sasa ina vituko!

Ujinga umekuwa werevu na werevu wamekuwa wapumbavu!

daaaah ilibidi tucheke hapa kwa nguvu tu kwa majibu yako. Ahsante
 
Huyu mleta uzi kweli ni kiazi mbatata. Kwa uandishi wako tu unaonekana ni kilaza next level.

Nyie ndo wale mkisikia kuwa 'maisha ni safari' basi mnabeba mabegi kuelekea stendi.

Badala ya 'kuzungusha mikono', naona wewe ushaanza 'kuzungusha makalio'! Izo bangi zenu za kuvutia chooni mtakuja kuvaa brazia vichwani.

Taratibu taratibu ndugu yangu maana kwikwi zimeshaanza kwa kucheka
 
Back
Top Bottom