Leo nimesikiliza hotuba ya Rais akiwa Chato. Mbali ya kuendelea kujenga matumaini makubwa na ahadi kede kede, Rais amekiri kuwa kazi ni ngumu na hakujua hilo.Kwani yeye alikuwa anabeep tu na simu aking,"angania huko!
Haya ni matamshi makubwa ambayo yanaeleza pia taswira ya utendaji wa JPM. Ni miezi 5 sasa Rais hajaonesha nia wala utashi wa kuonesha vision yake,hata hajaweka misingi ya kujenga mifumo ya utawala wake!
Hii ni hatari na asipokuwa makini ndio anguko lake, dalili za wazi ameunda serikali kuwafurahisha wasiojua!
Ukweli ni kwamba Wizara ni zilezile za JK,ila kapunguza mawaziri.! Hata instrument za Wizara hizo hazipo.
Mkuu kama ulikuwa unabeep,ndio hivo tena ,acha maigizo,!