Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais! | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Apr 3, 2016.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2016
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Leo nimesikiliza hotuba ya Rais akiwa Chato. Mbali ya kuendelea kujenga matumaini makubwa na ahadi kede kede, Rais amekiri kuwa kazi ni ngumu na hakujua hilo.Kwani yeye alikuwa anabeep tu na simu aking,"angania huko!

  Haya ni matamshi makubwa ambayo yanaeleza pia taswira ya utendaji wa JPM. Ni miezi 5 sasa Rais hajaonesha nia wala utashi wa kuonesha vision yake,hata hajaweka misingi ya kujenga mifumo ya utawala wake!

  Hii ni hatari na asipokuwa makini ndio anguko lake, dalili za wazi ameunda serikali kuwafurahisha wasiojua!

  Ukweli ni kwamba Wizara ni zilezile za JK,ila kapunguza mawaziri.! Hata instrument za Wizara hizo hazipo.

  Mkuu kama ulikuwa unabeep,ndio hivo tena ,acha maigizo,!
   
 2. Killoe

  Killoe Senior Member

  #61
  Jul 25, 2016
  Joined: Jul 19, 2016
  Messages: 110
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  Umetoka usingizini
   
 3. majata

  majata JF-Expert Member

  #62
  Jul 25, 2016
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Endelea kukoroma.
   
 4. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #63
  Jul 25, 2016
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,256
  Likes Received: 1,194
  Trophy Points: 280
  Hivi unavyosema ajira hakuna kwani watu wote lazima wafanye kazi serikalini?
   
 5. bikira latifah

  bikira latifah JF-Expert Member

  #64
  Jan 13, 2017
  Joined: Oct 27, 2016
  Messages: 230
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 80
  Kipindi nasoma chuo flani hapa Tanzania nilishawahi kugombea urais wa serikali ya wanafunzi chuoni. Kipindi hicho kulikuwa na wagombea kama 14. Wagombea 9, wakakatwa kutokana hawakuwa na sifa nzuri.

  Watano tuliobakia mimi ndio nilikuwa sina umaarufu wala uhakika wowote wa kupata urais. Baada ya mchujo mwingine kufanyika waliondolewa wagombea wawili hivyo tukabakia watatu.

  Mchujo wote huo mimi nilipita kimiujiza tu kwani hata kuchukua fomu ya kugombea nililazimishwa na wakubwa pale chuoni.
  Baada ya kupigwa kura mimi ndio nikaibuka mshindi bwana.

  Uongozi wangu wa miaka miwili tu pale chuoni wanafunzi namba waliisoma, kwani sikuandaliwa au sikujiandaa mapema kushika nafasi kubwa kama ile.
  * Wakujisikia nilikuwa mimi.
  *Maneno ya kejeli nilikuwa mimi.
  *Nisiyejali nilikuwa mimi.
  *Ubabe mimi ndio nilikuwa bingwa.

  Na yote haya yalitokea coz nililazimishwa na watu walinipigia kura kwa hasira ya wanaowapenda kukatwa majina yao kwa figisu figisu za wakubwa pale chuoni.

  Nawasilisha story yangu ya kutunga!
   
 6. m

  magukulu Senior Member

  #65
  Jan 13, 2017
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hiyo teknolijia inatisha, kwa hadidhi yako mkuu unashauri hao viongozi Wababe Duniani washambuliwe kwa Mfumo huo.!! Namie nimejitungia tu kastori haka.
   
 7. d

  dmkali JF-Expert Member

  #66
  Jan 13, 2017
  Joined: Nov 17, 2014
  Messages: 1,159
  Likes Received: 1,868
  Trophy Points: 280
  Hiyo post inatufundisha nini? Nauliza kwa swali la kutunga
   
 8. M

  MotoKazi Member

  #67
  Jan 13, 2017
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 67
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Alafu mtasema nchi inanjaa............
  Mkishiba muwe mnalala........
   
 9. ngafu.fijo

  ngafu.fijo JF-Expert Member

  #68
  Jan 13, 2017
  Joined: Oct 3, 2015
  Messages: 780
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 80
  ...mnawaza hadi kumuua mtu.....
   
 10. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #69
  Jan 18, 2017
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  ,-Mliochangia uzi huu kwa hasira,bado mpo!?
   
 11. Msamala

  Msamala Member

  #70
  Jan 18, 2017
  Joined: Oct 27, 2016
  Messages: 68
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  Ujumbe umefika
   
 12. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #71
  Jan 18, 2017
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Mwafwaa!?
   
 13. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #72
  Feb 13, 2017
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Baada ya jana ,kupitia TBC,kuangalia hotuba ya Rais nilikumbuka uzi huu...,mliokejeli na kutusi mpoooo!?
   
 14. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #73
  Mar 21, 2017 at 4:01 AM
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Sasa yanaanza polepole,wajanja tunachekaaaaaa!
   
Loading...