Rais Magufuli akamilisha ziara mikoa ya Kusini, atua Dar

Kesho tuanzishe uzi humu kuongelea kia mtu kafaidikaje na hii issue ya Mh. Makonda, yaani huko kwenye bank accounts zenu pesa zimeongezeka au mmepata faida kiasi gani kikubwa katika mengine au unapofanya kazi umeonezwa mshahara kwa kushabikia ya Makonda.

Makonda oyeeeee
 
Ww vyeti vyako vyaweza kuwa na UBASHITE kiasi flani ivi...yani kama ki design flani ivi
 
karibu president wetu dar es salaam! huku makelele tu sijui vyeti, mara gwajima, mara wema, du watu hawana kazi wanashnda mitandaoni!
Vipi Daudi Bashite amepata dharura ya kumfanya asiende kumpokea "baba" yake?
Au ameshakabidhi ofisi kwa mwenye Mastaz.

Back
Top Bottom