Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,384
- 7,823
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amewasili jijini hapa jioni la leo (Jumapili) baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku nne katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.
Rais Magufuli amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKIA) akitokea Mtwara.
Mara baada ya kuwasili, Rais Magufuli alipokelewa na viongozi mbalimbali akiwemo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Hashimu Mgandilwa.
source: mwananchi online
JE KUPOKELEWA NA KAIMU MKUU WA MKOA ina maana gan?