G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,591
- 36,004
Kwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni leo, rais Magufuli amejadiliwa kama kiongozi anayefuata mkondo mbaya sana kiuongozi. Aidha katika uchambuzi huo ambao ulijikita kwenye taarifa yake ya kuyaonya magazeti mawili, inaonyesha kuwa huenda Tanzania ikapelekea moja kwa moja kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Jumuiya ya Ulaya.
Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.
Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.