Vipi mkuuCDA imefutwa.......???
Ama kweli hakuna marefu yasiyo na ncha.
Mkuu acha...watu ishu ya viwanja na stahiki zao huko Idodomya chiniVipi mkuu
Na hiyo ndiyo hofu yangu. Ukisikia fungulia mbwa ndiyo hii. Madiwani wanaanza kugawana hadi maeneo ya wazi. Mambo ya hovyo tutaanza kuyasikia Dodoma kama ilivyo maeneo mengine. Binafsi nilihisi CDA ni best practice na inatakiwa ifanyike hivyo kwenye Miji mingine muhimu kama ilivyo kwa Kigamboni Development Authority.Halmashauri itaweza kweli kusimamia masuala ya ardhi, labda kama wataunda mamlaka nyingine
Halmashauri itaweza kweli kusimamia masuala ya ardhi, labda kama wataunda mamlaka nyingine