Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

ujue magufuli anatuona watanzania mapunguwani sana. kwake yeye wale wanaofanya mambo ya kipuuzi ndio anawapa cheo sijui anamkomesha nani

Joyce Mukya aliteuliwa na Magufuli Ubunge wa Viti Maalum Chadema? Mbona nae alifanya ya hovyo hovyo na Mwenye Chama!
 
Mtoa rushwa anakuwa rewarded na kuongea kwa kibri hadharani. Halafu tunazugwa napambana na rushwa na mafisadi wakati yeye ndiye wa kwanza kuwapaisha watoa rushwa!


Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Pastori Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

Hapo awali Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari na yule wa Arusha Godbless Lema, walimtuhumu Mnyeti kutoa rushwa katika Vitendo vya kununua madiwani wa CHADEMA
 
6e7ec484de353e321f3fe049424af260.jpg
huyu naskia viti maalum wanawake udc
ha ha ha ha ha ha da jamaa umenichekesha sana huyu jamaa ni kubwa jinga hafai kupewa nafasi hata ya ukatibu tarafa yeye muache ashinde na kina wema sepetu
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom