Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
madaraka yepi? ya kupigana judo?
 
Mzee wa msoga, ulipiga 5:7 ulitusogeza kidogo japo hukuweza kusawazisha kabisa maana walikulaumu kupitiliza. Tulikulilia sana walau tupate 7:7 ukaweka hekima zako mbele, kwakua ulikuta 3:7 basi hata hapo 5:7 ulijitahidi. Sasa wamekuja wenyewe wameswitch 1:7, shaikh Khalifa kabeep kidogo kuwakumbusha wakasogeza 2:7. Wayunani jitahidini kuona haya jamani!!! hivi hata kuwa balozi tu utasema hawakusoma kuliko wale?
Wewe acha kupotosha ndg, nimesoma shule ya Kislam darasani tulikuwa 500, ila uwiano ulikuwa 150:350.

Afu useme tupo saws hapo!
 
Wewe acha kupotosha ndg, nimesoma shule ya Kislam darasani tulikuwa 500, ila uwiano ulikuwa 150:350.

Afu useme tupo saws hapo!
Shule gani hiyo inafundisha uwiano wa sampuli hiyo, hebu gawanya hizo namba urahisishe mambo. Halafu hivi hapa tunazungumzia nini nikumbushe naona kama tunatoka nje ya reli.
 
Back
Top Bottom