Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Rais Magufuli leo amefanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM aliowateua kujaza nafasi wazi katika safu ya uongozi ya chama ngazi ya taifa.
Well saidCCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...
Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Kwakuwa Polepole Ni msemaji wa chama taarifa hii haikupaswa kusemewa na Ikulu bali Polepole Mwenyewe Kwa nafasi yake katika chama.Rais Magufuli leo amefanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM aliowateua kujaza nafasi wazi katika safu ya uongozi ya chama ngazi ya taifa.
Polepole suti imekukaa vyema, ikutoshe hivyo hivyo 2020
Kwakuwa Polepole Ni msemaji wa chama taarifa hii haikupaswa kusemewa na Ikulu bali Polepole Mwenyewe Kwa nafasi yake katika chama.
Wameanza Kwa mguu mbaya, Hakuna cha maana hapo!
CCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...
Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Mie nimetoa maoni yangu...sasa suala la kuelewa inategemea kama shuleni ulikuwa unahudhuria darasani au unatoroka na kwenda kunywa viroba..Wanyonge unamaanisha nini mkuu? Maana wamepigilia suti na wana afya njema kabisa. Tupe ufafanuzi unamaanisha nini?
Hebu fafanua zaidi, kimejitosheleza kivipi?Hiki Chama ni mfano Afrika na dunia nzima! Ccm ni taasisi iliyojitosheleza! Inayosimamia haki na maendeleo kwa watu inaowaongoza!
Nimeshangaa kikao cha chama kinatolewa taarifa na Msigwa badala ya Polepole.
yaani CCM uitenganishe na rushwa?? haiwezekani - this will never work out, hamuwezi kuibadilisha, Rushwa its within!!CCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...
Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Haki ya kula rambirambi za Bukoba,Hiki Chama ni mfano Afrika na dunia nzima! Ccm ni taasisi iliyojitosheleza! Inayosimamia haki na maendeleo kwa watu inaowaongoza!