Rais Magufuli afanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM

Hiyo ndio raha ya kuwa chama tawala. Ndio chama chenye serikali au hujui?
Nyie endeleeni tu kutoa matusi mwisho wake uzee utapiga hodi CCM bado ikiwa juu.

CCM oyeeee!!! Kidumu chama cha mapinduzi: Kidumu na kitaendelea kudumu.

Mkuu matusi yako wapi hapo kwenye post yangu? Au unajibu post ya mtu mwingine?
 
CCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...

Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...

Kidumu Chama cha Mapinduzi.

Chama chenu mnachaguana kama mnachagua watumishi wa kigango au parokia
 
Mkuu matusi yako wapi hapo kwenye post yangu? Au unajibu post ya mtu mwingine?
Nime quote ya kwako kabisa. Sasa hoyee maana yake nini?
Nikakuuliza hujui CCM ndio yenye serikali? Kwanini tusivae nguo za kijani?
 
Kwakuwa Polepole Ni msemaji wa chama taarifa hii haikupaswa kusemewa na Ikulu bali Polepole Mwenyewe Kwa nafasi yake katika chama.

Wameanza Kwa mguu mbaya, Hakuna cha maana hapo!
Ndg Yangu macho huna hata kusikia huskii anza kujiuliza nani mwenyeji wa hiyo shughuli then uje na hoja kama hiyo ya kiukawa kwani lazima uchangie hata kama huna hoja
 
Nime quote ya kwako kabisa. Sasa hoyee maana yake nini?
Nikakuuliza hujui CCM ndio yenye serikali? Kwanini tusivae nguo za kijani?

Hapo utakuwa unanionea, hoyee ni matusi ama ni salamu ya chama cha mapinduzi? Mimi sina shida na hiyo salamu yao ila itumike kwenye shughuli za ccm pekee na wala sio kwenye miradi ya maendeleo kwani kodi za wananchi wote bila kujali itikadi za kisiasa.
 
Kwanza. CCM huwa tunasalimiana na kuitikia oyeeee!! Hilo neno la hoye umelitoa wapi kama sio mwendo wenu wa kutoa matusi!?

Pili CCM ndio yenye serikali. Kwahiyo kazi zote za serikali ni kutimiza ilani ya chama cha mapinduzi. Kwa hiyo kutenganisha ccm na serikali haipo. Subirini na nyie kama mtaweza ingia ikulu.

CCM oyeeee!!.
 
hongera ndg mwenyekiti wa chama taifa kwa mikakati ya kukisuka upya chama chako lkn nadhani kwa vikao hivi vya chama ingekuwa busara zaidi vikafanyika kwenye ofisi za chama na hata taarifa kwa vyombo vya habari ikatolewa na chama chenyewe badala ya kurugenzi ya mawasiliano Ikulu inayoendeshwa kwa kodi za watanzania wakiwemo ambao si wanachama wa ccm.
 
Kwanza. CCM huwa tunasalimiana na kuitikia oyeeee!! Hilo neno la hoye umelitoa wapi kama sio mwendo wenu wa kutoa matusi!?

Pili CCM ndio yenye serikali. Kwahiyo kazi zote za serikali ni kutimiza ilani ya chama cha mapinduzi. Kwa hiyo kutenganisha ccm na serikali haipo. Subirini na nyie kama mtaweza ingia ikulu.

CCM oyeeee!!.

Mkuu unajua kujenga hoja!! achia mbali jinsi ulivyo vizuri kwenye upande wa kiswahili fasaha. Samahani kwa tusi la Hoye jf isije ikafungwa kwa matusi. Annael oyeeee.
 
Rais Magufuli leo amefanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM aliowateua kujaza nafasi wazi katika safu ya uongozi ya chama ngazi ya taifa.
21888ffbda6f9964a77e6b99316855b6.jpg
b5cd4e1f7cb3095ba20e785b85526bbe.jpg
Polepole amevaa shati oversize
 
Mkuu unajua kujenga hoja!! achia mbali jinsi ulivyo vizuri kwenye upande wa kiswahili fasaha. Samahani kwa tusi la Hoye jf isije ikafungwa kwa matusi. Annael oyeeee.
Oyeee!!!
 
Back
Top Bottom