Rais Magufuli afanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,137
48,808
Rais Magufuli leo amefanya mazungumzo na viongozi 3 wa CCM aliowateua kujaza nafasi wazi katika safu ya uongozi ya chama ngazi ya taifa.
21888ffbda6f9964a77e6b99316855b6.jpg
b5cd4e1f7cb3095ba20e785b85526bbe.jpg
 
Big up Rodric. Ulikuwa DC Chato wakati Mkuu akiwa Mbunge huko. Kwenye uchaguzi wa Ndani wa wagombea Urais CCM ULIHESABU kura za Mheshimiwa hatimaye alishinda. Wengi walitegemea ungekuwa "Mkono wake wa kulia" Serikalini. Mheshimiwa ameona "umsaidie" kwenye Chama. Umefanya kazi CCM Makao Makuu kwa muda mrefu tu. Utamsaidia ki ukweliii. Twakutakia utumishi mwema..
 
CCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...

Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...

Kidumu Chama cha Mapinduzi.

Wanyonge unamaanisha nini mkuu? Maana wamepigilia suti na wana afya njema kabisa. Tupe ufafanuzi unamaanisha nini?
 
Wanyonge unamaanisha nini mkuu? Maana wamepigilia suti na wana afya njema kabisa. Tupe ufafanuzi unamaanisha nini?
Mie nimetoa maoni yangu...sasa suala la kuelewa inategemea kama shuleni ulikuwa unahudhuria darasani au unatoroka na kwenda kunywa viroba..

Kama hukuelewa hayo sio makosa yangu mkuu.
 
Hiyo nayo ni press ya ikulu jamani. Ilitosha tu taarifa itolewe na chama. Si vyema taarifa za kichama kutolewa na press ya ikulu.
 
CCM ni chama kilichotokana na wanyonge lazima kionekane kumilikiwa na watu wa namna hiyo...

Rushwa idhibitiwe na mtu achaguliwe kwa sifa zake nzuri hapo tutafanikiwa...

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
yaani CCM uitenganishe na rushwa?? haiwezekani - this will never work out, hamuwezi kuibadilisha, Rushwa its within!!
 
Back
Top Bottom