Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,023
5,254
Taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya mawasiliano ikulu imetolewa leo tarehe 03 Machi 2019 kuwa Mheshimiwa Rais Magufuli amemteua Dk. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na pia amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki.

Mawaziri hao wataapishwa Ikulu kesho tarehe 04 Machi 2019 saa 3:30 asubuhi.

 
Mahiga ni MTU makin kwa masuala ya kimataifa, huyo aliewekwa ni kwa Ajili ya Tundu lissu na ni kitu magu anakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…