Rais Magufuli aambiwe ukweli


Mkuu nachelea kusema ni wew pekee na baadhi ya mwenye akili finyu ndiyo wako nyuma ya jiwe, nitajie mtu mwenye utimamu wa akili na asiyelinda tumbo lake aliye nyuma kumsapoti jiwe
 
Mkuu ebu ainisha kwa mifano anuai hizo biashara ambazo zilitegemea mafisadi. Umejaribu kutumia elimu yako japo kidogo kujua effect ya serikari kuhamishia pesa zake zote BOT?
Wachumi tunaomba mtufafanulie vizuri effects za fedha yote kurudi BOT ili tuwe na uelewa mpana katika hili
 
Wananchi wa Tanzania ndio wajinga,
Magufuli na ccm yako endelea tu maana Hakuna namna.
 
Umeongea vizuri sana ila jiwe sijuwi kama litabadilika na kuwa mwamba tabaka walau maji na hewa vipate kupita. Ngoja nichepuke kidogo maana kuuamini utawala huu ni kutafuta jahanamu ya milele.
 
Tanzania yetu hii wengi ni wachezaji ambao wako nje ya uwanja. kazi yao ni kukosoa tu, hebu tujiulize hao wanaomponda Mh. waliwahi kuokoa majanga gani hapa nchini tukafahamu kwamba mbunge fulani ameshaokoa mali fulani ikiibiwa kwenda ulaya au kazi yao ni kusema tu as if wamekunywa pombe ya mnazi, nawasilisha
 
Wafuasi wa ZITTO au CHADEMA naona ukweli imewakuna juu ya uchapaji kazi wa MH, Na katika maandishi ya humu kwenye jf tunaangalia tu mantik au point hatusahishi sentensi,naona mnaonesha uwezo wenu wa kielimu mmmh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…