Ceftriaxon
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 446
- 695
Umeongea point sana...ingekuwa huu ujumbe ufike kwa mh. Ingekuwa njema sana.
Mkuu hatuna Rais...kiatu cha Urais aliyekivaa akimtoshi mguu wake mkubwa kiatu kinambana...ngoja tucheki mguu wa Nd. Membe kama kitamtosha....Wanabodi nawasalimu sana .
Nitaenda moja kwa moja kwenye maada.
Ndugu zangu, Tangu utawala huu wa awamu ya tano uingie madarakani, tumeshuhudia mabadiliko mengi kimfumo na kiutendaji ambayo majawabu yake nayo yamekuwa mengi. Mimi sitapongeza juhudi yoyote iliyofanywa na mheshimiwa kwa kuwa hata wanaompongeza ama wanamsanifu ili au ugali wao uwe salama ama hawajui watendalo. Hata hivyo mimi siyo mwana siasa, wala siijui siasa, Haya noyoanika ni maoni yangu tu.
Ni katika kipindi hiki pekee tumeshuhudia benki nying zikifilisika na kufungwa, na kufuatia tamko la Gavana wa BOT kuna benki nyingine zinaenda kupata pigo la kufyekelewa mbali kwa kuwa zinaelekea kukosa uwezo wa kujiongoza. Ikumbukwe kuwa hizi benki zimeajiri wafanya kazi na ukizifuta maana yake hawa watu watarudi mtaani.
Mazingira ya biashara yanakuwa magumu kila kukicha, Na leo nadhani sote tumshuhudia mambo ya FastJet Tanzania, hii inamaana wafanyakazi wake nao including Masha, wanarudi bench. Mobisol Tanzania nayo imefanya Retrenchment na karibu watumishi 106 wameaga mashindano, Hapo hatujazungumzia habari ya Vodacom Tanzania na Tanzania Breweries, hapo hapo tusisahau kujiuliza hatma ya watumishi wa viwanda na magazeti yaliyofungiwa kwa sababu za makosa ya kisiasa.
Kauli mbiu ya wapiga dili imepamba moto bila kufikiria sana, kwa sababu hawa wanaokosa kazi wakielezea ukosefu wa fedha wataitwa walikuwa wapiga deal na kibwagizo cha kuhakikisha waliokuwa wakiishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani.
SASA
Katika hali ya kawaida, wengi wanaokosa kazi wangetaarajiwa wachukue akiba zao kutoka mifuko ya jamii ili wakapambane mtaani, kwa bahati mbaya kwa sasa haiwezekani maana serikali ya CCM imetunga sheria inayozuia kuchukua pesa hizo, Ikitokea mtu akapata chanzo kingine akafungua biashara anaenda kukutanza na utitiri wa kodi kiasi kwamba hakuna tena liwezekanalo juu ya nchi. Kamishna wa TRA ameonge kuwa wanaanza kutoza kodi kwa wale wanaofanya biashara mtandaoni, yaani wale wanouza mkongolaa wajiandae kisaikolojia.
Mheshimiwa Raisi Bado anaamini kabisa uchumi unakuwa kwa kasi, sasa swali la kujiuliza, Je, ni kweli Raisi anaamini uchumi wetu unakuwa kwa kasi au? Kama anadhani saivi maisha ni mazuri, ni nani amemdanganya? Tumeshuhudia Gavana wa BOT akitoa kauli kwamba tunazo fedha za kutosha kabisa, Lakini waziri mpango akatoka kwa dhati na kusema kuwa nchi inapitia katika kipindi kigumu sana maana hamna fedha.
Swali, Ni nani amemdanganya raisi kati ya Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT?
Hivi ni kweli nchi yenye fedha za kutosha inapitia wakati mgumu? Mimi nadhani tujikumbushe kidogo, Mwalimu Nyerere alipata kusema na nanukuu, "You cant develop people, you must allow them to develop themselves" kwa tafsiri isiyo rasmi "Huwezi kuendeleza watu, lazima uwaruhusu wajiendeleze".
Kwa bahati nzuri Mheshimiwa Raisi ameweka wasomi wengi kwenye uongozi, maana yake wamshauri kisomi, tuna Maprofesa wengi wa uchumi ambao ninaamini wangemueleza ukweli bila kuogopa kutumbuliwa, hii nguvu kubwa anayoitumia ingelenga eneo sahihi basi tungetatua tatizo. Nimesikitishwa sana na tamko la bwana mdogo Augustino Matefu kule kigoma eti Zitto anamroga sana, Ningekuwa na mamlaka ningemfukuza mara moja maana vijana wameaminiwa halafu wanaenda kufanya siasa za kijinga sana.
Siasa inatakiwa itumikie uchumi na siyo Uchumi utumikie siasa, Najiuliza elimu za wabunge wetu, tunao wengi mle hawana elimu lakini wanavyoshupaza mashingo na kuamu masuala makubwa ya kiuchumi nabaki mdomo wazi, IFIKIE MAHALA WABUNGE WANAPOAMUA MASWALA MUHIMU WAACHE VYAMA VYAO PEMBENI, WASIMAME PAMOJA KAMA TAIFA, tuliwachagua wakajenge nchi na siyo kuibomoa, Kuna matamko ndiyo yeametolewa na EU na MAREKANI, Haya matamko siyo mazuri, na nadhani badala ya upande mwingine kufurahia na kukejeli, ni muda wa kukaa pamoja na kujadili kwa hoja na kuangalia njia nzuri ya sisi kujinasua kwenye mtego huu wa wzungu maana mabavu hayajengi.
Kama mheshimiwa Raisi atafanikiwa kuona uzi huu ninamshauri afanye yafuatayo.
Mwisho, Kwa afya ya siasa katika nchi Duniani kote kwa sasa, Upinzani ulio huru ni muhimu tuwe tunataka au hatutaki, Hii hutoa fursa ya watu kubishana kwa hoja na kuwapa fursa wananchi kuchagua vyema ni nani anafaa. Huu mswaada wa vyama vya siasa, Nikiri tu kwamba tunafanya makosa maana kiukweli hauleti afya kwa siasa zetu kwa sasa, Uondolewe haraka, Nasema hivi kwa kuwa hii ikipita, udikteta utaonekana wazi wazi kabisa (Mheshimiwa Raisi usiingie kwenye mtego huu)
- Awaite wachumi wote wakae mezani, wachambue muenendo wa uchumi wetu kwa sasa na baadae waje na ripoti ya hali halisi ya uchumi na njia mbadala za kuhakikisha tunakuwa na uchumi unaokua Kiuhalisia na siyo kinadhalia
- Aanze kufuatilia matamkona matendo ya wateule wake juu ya wapinzani na watendaji mbalimbali hapa nchini maana nin uhakika hawa watu wanatoa matamko na wengine kufanya lolote ili wajifiche humo na kumdanganya Raisi juu ya utendaji wao.
- Aongeze wigo wa watu kutoa maoni maana kwenye maoni ya wengi atapata ukweli halisi wa mambo iwe kisiasa au kiuchumi.
Bado naamini Kama Raisi Magufuli tukimuambia ukweli wa mambo (akatusikiliza) na tukaacha kumpotosha (naamini wanampotosha) Kwa spirit aliyo nayo, Kuna uwezekano wa yeye kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea duniani.
TUSIMPOTOSHE RAISI WETU, TUMSAIDIE, TUSIGOMBANE NAYE
"We are not against the progress, but we do not want progress that is anarchic and criminally neglects the rights of others" Thomas Sankara.
Deus iudex est solus
Kidudu
CC GENTAMYCINE VUTA-NKUVUTE Mshana Jr Mshanajr MSAGA SUMU et al.
Kwa kweli inaumiza sana mkuu sijui tutajinasua namna ganiNchi yenye watu 55 millions inavurugwa na mtu mmoja tu na kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha hilo na wako wajinga wanampigia makofi na kumwambia kanyaga twende!!! Wakati hakuna pa kwenda zaidi ya kuididimiza nchi! Waliozungumka wanamuogopa kupita kiasi kama vile ana mapembe badala ya kumwambia ukweli KAZI YA KUONGOZA NCHI HUIWEZI KAA PEMBENI!
Kwa kweli inaumiza sana mkuu sijui tutajinasua namna gani
Kwa maana hiyo tukubali tunaongozwa kidikteta? Nadhan watu ipo siku watachoka na impact itakuwa uncontainable tena, ndiyo maana nimezidi kushauri watu wajifunze kumwambia ukweli,maisha ya unafiki , uoga na kujipendekeza, kujiona una utukufu, ww ndo unajua kila kitu, ww ndo muamuz wa yote, ww ndo upo sahihi ndio yanayotufikisha hapa, kwa kweli tumekata tamaa na hii nchi hakuna tumaini hatujui tuombe wap msaada, tunaowategemea (wasomi wetu), wengi ni wachumia tumbo, ila kiburi na jeuri vitamponza me naamini hali halisi anaiona mambo ni.magumu sn, ila akaibadilika wengi watamsifu
Kwa hoja No.Mkuu ilimradi wawe tayari kubishana kwa hoja, tutasonga
Korosho bado tunahakiki inakuwaje mtu ana tani za korosho afu hana hata hatua 1 ya Ardhi!Kwa maana hiyo tukubali tunaongozwa kidikteta? Nadhan watu ipo siku watachoka na impact itakuwa uncontainable tena, ndiyo maana nimezidi kushauri watu wajifunze kumwambia ukweli,
Nimeona media zote haziripoti tena swala la korosho, limeisha?
Mkuu kwanza sikupingi kuhusu kuwa kuna kazi imefanyika ila nimakupinga kwa asilimia mia ya kwamba inabidi Rais azibe sikio. **** mtu amejinyonga mtwara nyuma ya ghala la kuhifadhia korosho kisa mkuu ameziba skio. YULE ANGEKUWA NDUGU YAKO AU MZAZI WAKO, ungetoa haya maoni? Jiweke kwenye viatu vya ndugu za wale waliopotea, Ben Saanane, Alphonce mawazo, Azory Gwanda na wengineo halafu uje useme tenaUkweli wakati fulani tuwe wa kweli nchi kama zetu hizi kuwa na maendeleo inatakiwa RAIS azibe sikio au hatanya kitu chochote kile ya maendeleo. Awamu zote zimepita lakini cha muhimu hatukuona , umeme hakuna ,bandari ni shida, watu walipeana kazi kiundugu bila na upendendeleo, wakulima wamekuwa wakinyanyaswa sana, wenyeviti wa kamati za bunge walipewa hadi rushwa ya mahama au V8 magari, hawasuluhishi kero, nk Mie sina kazi tokea nimemaliza chuo cha NIT mwaka 2008 hadi maksi walikuwa wanapeana kikabila na kwa ki rushwa lakini kidogo tumepata RAIS anayerekebisha kidogo,hata kama sina kazi hivyo bora, na tofauti na wengine waliomtangulia. Tumwache aendelee, heti tumwache abishane na wehu wanaogombania kahaba kama akina Wema sepetu, .Binadamu si kama kinyonga.
Tulikuwa tunajua tangu mapema biashara zilizokuwa zinategemea mafisadi na money launderers lazima zife. Mkuu tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wa kifisadiWanabodi nawasalimu sana .
Nitaenda moja kwa moja kwenye maada.
Ndugu zangu, Tangu utawala huu wa awamu ya tano uingie madarakani, tumeshuhudia mabadiliko mengi kimfumo na kiutendaji ambayo majawabu yake nayo yamekuwa mengi. Mimi sitapongeza juhudi yoyote iliyofanywa na mheshimiwa kwa kuwa hata wanaompongeza ama wanamsanifu ili au ugali wao uwe salama ama hawajui watendalo. Hata hivyo mimi siyo mwana siasa, wala siijui siasa, Haya noyoanika ni maoni yangu tu.
Ni katika kipindi hiki pekee tumeshuhudia benki nying zikifilisika na kufungwa, na kufuatia tamko la Gavana wa BOT kuna benki nyingine zinaenda kupata pigo la kufyekelewa mbali kwa kuwa zinaelekea kukosa uwezo wa kujiongoza. Ikumbukwe kuwa hizi benki zimeajiri wafanya kazi na ukizifuta maana yake hawa watu watarudi mtaani.
Mazingira ya biashara yanakuwa magumu kila kukicha, Na leo nadhani sote tumshuhudia mambo ya FastJet Tanzania, hii inamaana wafanyakazi wake nao including Masha, wanarudi bench. Mobisol Tanzania nayo imefanya Retrenchment na karibu watumishi 106 wameaga mashindano, Hapo hatujazungumzia habari ya Vodacom Tanzania na Tanzania Breweries, hapo hapo tusisahau kujiuliza hatma ya watumishi wa viwanda na magazeti yaliyofungiwa kwa sababu za makosa ya kisiasa.
Kauli mbiu ya wapiga dili imepamba moto bila kufikiria sana, kwa sababu hawa wanaokosa kazi wakielezea ukosefu wa fedha wataitwa walikuwa wapiga deal na kibwagizo cha kuhakikisha waliokuwa wakiishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani.
SASA
Katika hali ya kawaida, wengi wanaokosa kazi wangetaarajiwa wachukue akiba zao kutoka mifuko ya jamii ili wakapambane mtaani, kwa bahati mbaya kwa sasa haiwezekani maana serikali ya CCM imetunga sheria inayozuia kuchukua pesa hizo, Ikitokea mtu akapata chanzo kingine akafungua biashara anaenda kukutanza na utitiri wa kodi kiasi kwamba hakuna tena liwezekanalo juu ya nchi. Kamishna wa TRA ameonge kuwa wanaanza kutoza kodi kwa wale wanaofanya biashara mtandaoni, yaani wale wanouza mkongolaa wajiandae kisaikolojia.
Mheshimiwa Raisi Bado anaamini kabisa uchumi unakuwa kwa kasi, sasa swali la kujiuliza, Je, ni kweli Raisi anaamini uchumi wetu unakuwa kwa kasi au? Kama anadhani saivi maisha ni mazuri, ni nani amemdanganya? Tumeshuhudia Gavana wa BOT akitoa kauli kwamba tunazo fedha za kutosha kabisa, Lakini waziri mpango akatoka kwa dhati na kusema kuwa nchi inapitia katika kipindi kigumu sana maana hamna fedha.
Swali, Ni nani amemdanganya raisi kati ya Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT?
Hivi ni kweli nchi yenye fedha za kutosha inapitia wakati mgumu? Mimi nadhani tujikumbushe kidogo, Mwalimu Nyerere alipata kusema na nanukuu, "You cant develop people, you must allow them to develop themselves" kwa tafsiri isiyo rasmi "Huwezi kuendeleza watu, lazima uwaruhusu wajiendeleze".
Kwa bahati nzuri Mheshimiwa Raisi ameweka wasomi wengi kwenye uongozi, maana yake wamshauri kisomi, tuna Maprofesa wengi wa uchumi ambao ninaamini wangemueleza ukweli bila kuogopa kutumbuliwa, hii nguvu kubwa anayoitumia ingelenga eneo sahihi basi tungetatua tatizo. Nimesikitishwa sana na tamko la bwana mdogo Augustino Matefu kule kigoma eti Zitto anamroga sana, Ningekuwa na mamlaka ningemfukuza mara moja maana vijana wameaminiwa halafu wanaenda kufanya siasa za kijinga sana.
Siasa inatakiwa itumikie uchumi na siyo Uchumi utumikie siasa, Najiuliza elimu za wabunge wetu, tunao wengi mle hawana elimu lakini wanavyoshupaza mashingo na kuamu masuala makubwa ya kiuchumi nabaki mdomo wazi, IFIKIE MAHALA WABUNGE WANAPOAMUA MASWALA MUHIMU WAACHE VYAMA VYAO PEMBENI, WASIMAME PAMOJA KAMA TAIFA, tuliwachagua wakajenge nchi na siyo kuibomoa, Kuna matamko ndiyo yeametolewa na EU na MAREKANI, Haya matamko siyo mazuri, na nadhani badala ya upande mwingine kufurahia na kukejeli, ni muda wa kukaa pamoja na kujadili kwa hoja na kuangalia njia nzuri ya sisi kujinasua kwenye mtego huu wa wzungu maana mabavu hayajengi.
Kama mheshimiwa Raisi atafanikiwa kuona uzi huu ninamshauri afanye yafuatayo.
Mwisho, Kwa afya ya siasa katika nchi Duniani kote kwa sasa, Upinzani ulio huru ni muhimu tuwe tunataka au hatutaki, Hii hutoa fursa ya watu kubishana kwa hoja na kuwapa fursa wananchi kuchagua vyema ni nani anafaa. Huu mswaada wa vyama vya siasa, Nikiri tu kwamba tunafanya makosa maana kiukweli hauleti afya kwa siasa zetu kwa sasa, Uondolewe haraka, Nasema hivi kwa kuwa hii ikipita, udikteta utaonekana wazi wazi kabisa (Mheshimiwa Raisi usiingie kwenye mtego huu)
- Awaite wachumi wote wakae mezani, wachambue muenendo wa uchumi wetu kwa sasa na baadae waje na ripoti ya hali halisi ya uchumi na njia mbadala za kuhakikisha tunakuwa na uchumi unaokua Kiuhalisia na siyo kinadhalia
- Aanze kufuatilia matamkona matendo ya wateule wake juu ya wapinzani na watendaji mbalimbali hapa nchini maana nin uhakika hawa watu wanatoa matamko na wengine kufanya lolote ili wajifiche humo na kumdanganya Raisi juu ya utendaji wao.
- Aongeze wigo wa watu kutoa maoni maana kwenye maoni ya wengi atapata ukweli halisi wa mambo iwe kisiasa au kiuchumi.
Bado naamini Kama Raisi Magufuli tukimuambia ukweli wa mambo (akatusikiliza) na tukaacha kumpotosha (naamini wanampotosha) Kwa spirit aliyo nayo, Kuna uwezekano wa yeye kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea duniani.
TUSIMPOTOSHE RAISI WETU, TUMSAIDIE, TUSIGOMBANE NAYE
"We are not against the progress, but we do not want progress that is anarchic and criminally neglects the rights of others" Thomas Sankara.
Deus iudex est solus
Kidudu
CC GENTAMYCINE VUTA-NKUVUTE Mshana Jr Mshanajr MSAGA SUMU et al.
Walanguaji tumeula wa chuya japo ilikua ni biashara halali kipindi cha nyuma na na ilikua inaingiza kipato kwa kijiji husikaKorosho bado tunahakiki inakuwaje mtu ana tani za korosho afu hana hata hatua 1 ya Ardhi!
Nadhan kwa mtu anayefikiria hii ilikuwa dalili ya wazi kabisa kuwa wananchi wamechoka, Ninaogopa itaanza Chemical solidality na vita baridi itakuwa imeanza na damu zisizo na hatia zitamwagika. Mungu aepushie mbaliBila huyu dikteta kuachia ngazi itakuwa ngumu sana. Fikiria Watanzania wengi sasa wamefikia kuunga mkono vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Nchi waipendayo kama vitawekwa na US na EU na huku wakijua fika vikwazo hivyo vitawagusa wao pia.