Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Kuna msemo unasema huwezi Kufanya kitu kile kile kwa akili zile zile utegemee matokeo tofauti.
Wahindi wakitaka kuendelea kibiashara na haswa kwenye sekta ya usafirishaji, huwa wanawagombanisha wafanyakazi wao ili kila mtu ajione Kama yeye ndo Bosi kwenye gari.
Tunakwenda kwenye mazungumzo na barrick juu ya kulipwa kipande chetu tunachowadai hao wadosi. Ni vyema kuamua kwa busara hata Kama hiyo busara inakuumiza. Weka siasa pembeni, muongeze Lissu kwenye hiyo tume ya majadiliano.
Anaweza kuwa hajui sana lakini anachokijua hata Kama ni kidogo, kinaweza kusaidia na haswa ukikumbuka historia yake na bulyankhulu...... Sisemi zaid.
Sisemi kwamba kabudi na hiyo timu yake hawana uwezo wa kung'amua mambo kwenye hayo mazungumzo na barrick... Ila nina waswas na ukweli kwamba hata ukiwa na madegree mangapi, ukishaingia CCM unakuwa Kama zuzu hivi.
Wacha Lissu aingie Huko ndani, wakigombana ndo utapata hela nzuri.... Ila ikiwa smooth sana watatulipa Kama wanautupa msaada hivi.
Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi. $@$?/@/)$/@$mbavu.
Mkuu sijafanya kosa lolote, kustahili hili povu.Kampe kwenye ukoo wenu ili awaongezee mazezeta!
Mkuu sijafanya kosa lolote, kustahili hili povu.
Mkuu uvumilivu ukinishinda utanitafutia ban kwenye mwezi huu wa rehema.Umefanya kosa kubwa sana!
Ujinga ni pale ambapo ikitokea amemjumuisha kwenye hiyo kamati,utarudi hapa kukata kiuno kumpongeza kwamba ni mzalendo!Kampe kwenye ukoo wenu ili awaongezee mazezeta!
Yuda IskariotiKuna msemo unasema huwezi Kufanya kitu kile kile kwa akili zile zile utegemee matokeo tofauti.
Wahindi wakitaka kuendelea kibiashara na haswa kwenye sekta ya usafirishaji, huwa wanawagombanisha wafanyakazi wao ili kila mtu ajione Kama yeye ndo Bosi kwenye gari.
Tunakwenda kwenye mazungumzo na barrick juu ya kulipwa kipande chetu tunachowadai hao wadosi. Ni vyema kuamua kwa busara hata Kama hiyo busara inakuumiza. Weka siasa pembeni, muongeze Lissu kwenye hiyo tume ya majadiliano.
Anaweza kuwa hajui sana lakini anachokijua hata Kama ni kidogo, kinaweza kusaidia na haswa ukikumbuka historia yake na bulyankhulu...... Sisemi zaid.
Sisemi kwamba kabudi na hiyo timu yake hawana uwezo wa kung'amua mambo kwenye hayo mazungumzo na barrick... Ila nina waswas na ukweli kwamba hata ukiwa na madegree mangapi, ukishaingia CCM unakuwa Kama zuzu hivi.
Wacha Lissu aingie Huko ndani, wakigombana ndo utapata hela nzuri.... Ila ikiwa smooth sana watatulipa Kama wanautupa msaada hivi.
Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi. $@$?/@/($/@$mbavu.
Ujinga ni pale ambapo ikitokea amemjumuisha kwenye hiyo kamati,utarudi hapa kukata kiuno kumpongeza kwamba ni mzalendo!
Mkuu uvumilivu ukinishinda utanitafutia ban kwenye mwezi huu wa rehema.
Mungu niepushie hili jaribu.Mpe nafasi kwenye ukoo wako aongeze Mazezeta!
Mungu niepushie hili jaribu.
Mukulu asishindane.... Yeye ni mkubwa sana ukilinganisha na Lissu. Ampe nafasi, hata Kama hamkubali.Kati ya changamoto kubwa alizonazo Mkuu,Ni huyu lissu anamnyima Amani ya Moyo Mh.