Rais kwa hili weka siasa pembeni umpe Lissu nafasi

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,029
2,000
Kuna msemo unasema huwezi Kufanya kitu kile kile kwa akili zile zile utegemee matokeo tofauti.

Wahindi wakitaka kuendelea kibiashara na haswa kwenye sekta ya usafirishaji, huwa wanawagombanisha wafanyakazi wao ili kila mtu ajione Kama yeye ndo Bosi kwenye gari.

Tunakwenda kwenye mazungumzo na barrick juu ya kulipwa kipande chetu tunachowadai hao wadosi. Ni vyema kuamua kwa busara hata Kama hiyo busara inakuumiza. Weka siasa pembeni, muongeze Lissu kwenye hiyo tume ya majadiliano.
Anaweza kuwa hajui sana lakini anachokijua hata Kama ni kidogo, kinaweza kusaidia na haswa ukikumbuka historia yake na bulyankhulu...... Sisemi zaid.

Sisemi kwamba kabudi na hiyo timu yake hawana uwezo wa kung'amua mambo kwenye hayo mazungumzo na barrick... Ila nina waswas na ukweli kwamba hata ukiwa na madegree mangapi, ukishaingia CCM unakuwa Kama zuzu hivi.

Wacha Lissu aingie Huko ndani, wakigombana ndo utapata hela nzuri.... Ila ikiwa smooth sana watatulipa Kama wanautupa msaada hivi.

Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi. $@$?/@/(:)$/@$mbavu.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608

Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi. $@$?/@/:))$/@$mbavu.

Kampe kwenye ukoo wenu ili awaongezee mazezeta!
 
WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
2,056
2,000
Kuna msemo unasema huwezi Kufanya kitu kile kile kwa akili zile zile utegemee matokeo tofauti.

Wahindi wakitaka kuendelea kibiashara na haswa kwenye sekta ya usafirishaji, huwa wanawagombanisha wafanyakazi wao ili kila mtu ajione Kama yeye ndo Bosi kwenye gari.

Tunakwenda kwenye mazungumzo na barrick juu ya kulipwa kipande chetu tunachowadai hao wadosi. Ni vyema kuamua kwa busara hata Kama hiyo busara inakuumiza. Weka siasa pembeni, muongeze Lissu kwenye hiyo tume ya majadiliano.
Anaweza kuwa hajui sana lakini anachokijua hata Kama ni kidogo, kinaweza kusaidia na haswa ukikumbuka historia yake na bulyankhulu...... Sisemi zaid.

Sisemi kwamba kabudi na hiyo timu yake hawana uwezo wa kung'amua mambo kwenye hayo mazungumzo na barrick... Ila nina waswas na ukweli kwamba hata ukiwa na madegree mangapi, ukishaingia CCM unakuwa Kama zuzu hivi.

Wacha Lissu aingie Huko ndani, wakigombana ndo utapata hela nzuri.... Ila ikiwa smooth sana watatulipa Kama wanautupa msaada hivi.

Kingine kwenye hayo majadiliano hao barrick waambiwe kabisa... Wakimaliza upuuzi wao wafukie mashimo. Wanatuachia miandaki isiyo na matumizi. $@$?/@/(:)$/@$mbavu.
Yuda Iskarioti
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom