just in time
Member
- Jan 12, 2011
- 30
- 0
kasumba za kila siku!!!
Kweli balaza lake yeye!NAMPONGEZA SANA RAISI JK KWA UAMUZI WA KUITA BALAZA LAKE LA ULINZI! HONGERA SAANA MKUUU!a
Hizo redio mbao ni zipi? inashagaza kuona rais mzima anaongelea lugha kama hii ndio tatizo la kuwa na watu ambao bongo zao zilishakufa ikabaki miili tu. inaoneka ubongo ulisha oza kiasi hata operation ni ngumu kufanyiwa:sick:
NAMPONGEZA SANA RAISI JK KWA UAMUZI WA KUITA BALAZA LAKE LA ULINZI! HONGERA SAANA MKUUU!a