Rais kusema radio mbao ana maana gani??

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Jamani radio zipi ni MBAO??? Are we serious ?? The responsible wanasifiwa tu
AMA KWELI TZ UKIWA KIONGOZI RAHA SANA HATA HUWAJIBIKI.
KUWALIPA WALIOFIWA, KUWALIPA WALIPATA MAJERAHA HII KAMA ILE YA MBAGALA
 
of coz viongozi wetu wana raha sana,kuwajibika kwao ni kuwalipa tu wahanga na wao hawalipi tunalipa sis kwa kodi zetu.
 
kwanza hajasema watalipwa vipi? na kias gani wote wafiwa na majeruhi

kaniudhi kumpa pole mwamunyange.......
 
NAMPONGEZA SANA RAISI JK KWA UAMUZI WA KUITA BALAZA LAKE LA ULINZI! HONGERA SAANA MKUUU!a
 
NAMPONGEZA SANA RAISI JK KWA UAMUZI WA KUITA BALAZA LAKE LA ULINZI! HONGERA SAANA MKUUU!a

Lile la mbagala vipi? lilifanya nini? Ufisadi tu!! La nevy, la kiluvya, la lugalo, na....... Pole mkuu amuka.
 
Nadhani Angesema tusiwasikilize watangazaji mbao na sio redio mbao.
 
Jamani radio zipi ni MBAO??? Are we serious ?? The responsible wanasifiwa tu
AMA KWELI TZ UKIWA KIONGOZI RAHA SANA HATA HUWAJIBIKI.
KUWALIPA WALIOFIWA, KUWALIPA WALIPATA MAJERAHA HII KAMA ILE YA MBAGALA

Radio mbao ni taarifa zisizorasmi tunazosambaziana huku mitaani. Hizi taarifa mara nyingi ni za kuongopea na kuogopesha raia kiasi cha wengine kukimbia makazi yao wakati tishio la milipuko halipo tena.
 
Mnamshangaa nini? Si ndo zake kila siku. Kwani mritarajia aseme nini yule muuza sura?
 
Katika visit ile Rais alitakiwa awe amejiandaa kuongea kwa umakini mkubwa...lakini JK kila kitu kwake anafanya mzaha.!!!
 
Hizo redio mbao ni zipi? inashagaza kuona rais mzima anaongelea lugha kama hii ndio tatizo la kuwa na watu ambao bongo zao zilishakufa ikabaki miili tu. inaoneka ubongo ulisha oza kiasi hata operation ni ngumu kufanyiwa:sick:
 
Aise tumekwisa roho za watu 20 na wengine kupata vilema vya maisha rais unaleta jokes hatuna viongozi
 
Radio mbao ni taarifa zisizorasmi tunazosambaziana huku mitaani. Hizi taarifa mara nyingi ni za kuongopea na kuogopesha raia kiasi cha wengine kukimbia makazi yao wakati tishio la milipuko halipo tena.

Asitufanye sote ni waswahili tunaoujua maneno ya kitaa, kivyake, aongee kama mtu anyejua anawasiliana na watu wa aina gani
 
Mwananchi pekee limeripot vifo vya watu 40 hii ni sahihi zaidi kwan najua mwananchi wanafanya uchunguzi wa kutosha. Achaneni na huyu mkwere afie mbali immune supresion zake, hana jipya.
 
Amenitukania sana Babu yangu (RIP) na redio yake hii niliyorithi

old_radio.jpg
 
Back
Top Bottom