Rais komesha uhuni huu TANESCO

Rais komesha uhuni huu TANESCO

Ni kweli hujuma zimezidi, sisi wakazi wa Bunju beach, tuliomba umeme siku nyingi sana, baadaye akatokea mtu (jina kapuni) anayejiamini, aliwachukulia hatua, akawashitaki, kese akaishinda, walipewa siku tatu umeme uwepo, ni kweli wakatandaza nyaya siku mbili , siku ya kuwasha wakaiba nyaya zote, alafu siku iliyofuata, wakadai bunju beach hakuna ustaarabu , ona wameiba nyaya zote, kumbe ni wao walichukua wakidai kuzibadilisha.
Kweli jamaa ni noma kwa uhuni, waitishe mikutano tanzania nzima kuna watu wanasiri nyingi, wangetumia njia ya zamani ya masanduku ya kula kwa wanaoona hawawezi kutoa maoni kwa sababy za kiusalama.

Inasikitisha kweli. Yaani TANESCO ni full uhuni. Mara waibemafuta ya Transforma, mara wafanye hiki ilimradi tu walihujumu shirika kwa manufaa ya watu wanaowatuma ili wauze umeme wao wa dharura. Nakuunga mkono kuna watu wana siri nyingi uwepo utaratibu wa kukusanya maoni yao ila tu kikwazo ni nani mwenye kuwachukulia hatua wahusika ikiwa viongozi wa ngazi za juu serikali ndo wenye hiyo biashara?
 
ccm oyeeeee
10% oyeeeeeeee

halafu siku hizi umeme unakatwa katwa sana sijui wanatengeneza mazingura ya mgao....



Kidumu chama cha mapinduzi

Mkuu ingekuwa 10 % pekee nafikiri kwa 90 % tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana., Nafikiri hawa jamaa wanachukua 40 % kabisa. Sijuwi hayo mabilioni wanayafanyia nini. Mwisho wake watakufa na kuyaacha kwenye mabenki huku waTZ wenzano wakitaabika. Sijuwi nini kifanyike kuwafanya hawa watu wawajali na wengine, waache kufurahia mapesa yaliyojaa pomoni kwenye akaunti zao wakiwa hawana kazi nayo.
 
Back
Top Bottom