Rais Kim Jong Il aaga dunia

Huwezi kujua nguvu ya hawa wakorea hadi ujionee mwenyewe ndani ya North Korea, Otherwise, mtaendelea kupotoshwa na propaganda za magharibi na Marekani...
 
Hivi huyu dogo anayerithishwa ana miaka mingapi? Amefikisha hata 30 kweli? Can you imagine nuclear codes on hands of a 20 old man? How safe is the Korean Penisula, Asia & the world as whole now?
Alianza kutayarishwa akiwa bado mdogo sana. Hata picha zake zimeanza kuonekana relatively recently baada ya mpishi wao kuwauzia magazeti za US.
I know propaganda ya kusema the workd is not safe zitasambaa sana ila we need to wait and see. the world barely knows him...
 
Usiamini kila unachoambiwa na western media kuhusu uchumi wa North Korea. Juu ya watu kuvuka mpaka, hiyo ni kawaida maana hata USA wanavuka kwenda Canada na vice versa.

Mkuu, this's horse's mouth..siyo ya kuhadithiwa, nimewahi kuishi hiyo peninsula..
mwaka huu tuu, watu zaidi ya milioni moja wamefariki kwa njaa..ndiyo maana huyo dikteta aliamua mwenyewe kwenda Urusi na China kuomba msaada wa chakula.
 
Usijidanganye na kujifariji..huyo ni bonge ya dogo, just 28. Kama kiongozi wa Taifa ameandaliwa kwa muda mfupi sana. Katika kipindi cha mwaka mmoja tuu--tangu 2010--ndiyo ameanza kidogo kuwa public..
Sasa kama kiongozi wa Taifa anaandaliwa chumbani au mafichoni, that's another story. Lakini hilo eneo la Korean peninsula ni very competitive economically..mambo hayawezi kwenda kienyeji hivyo then mtu atarajie maendeleo ya uhakika. Hapo kuna South Korea, China, Japan etc. Hawa jamaa hakuna cha longolongo wala serikali legelege.. ni kazi mtindo mmoja.
 
RR, hawa wenzetu hata wachina, huwa unaweza kutabiri watakachokifanya kwasababu huwa wanaongoza kwa "Dynasties"

Huyu aliyepita ni Dear leader...

Mtoto mmoja ambaye alitegemea atamrithisha utawala anaonekana kama ni pro western, aliwshawahi kujaribu kutoroka kwa kutumia passport fake ili tu aweze kwenda kutizama Disney world ambayo ni kama symbol a west na ubepari...

Swali kubwa ni nani atamrithi na ni zipi implications zake?

Kumbuka wana Nyuklia!



 
Kim jong ill alikuwa kiongozi shupavu, ila alikuwa na mapungufu yake. Mungu amlaze mahala pema.
 
Tatizo la marekani na mataifa mengine ya west, wasiwasi wao ni kwamba hawajui ni kichaa yupi atakabidhiwa rungu, sasa inabidi wawategemee sana wachina kwasababu hawa NK ni very secretive.
 
Globu,
huo ushupavu unaosema hauna maana kama raia kwa mamilioni wanakufa njaa..pesa yote imepelekwa jeshini kutengeneza silaha za nyuklia na makombora mengine.
Hata marekani walishtuka, wameamua kupunguza matumizi huko pentagon!! otherwise uchumi una suffer
 
Huyu dogo wa mwisho Kim Jong Un ndo tayari keshapewa rungu...Kuna missiles wamezi fire na inasemekana ni ishara kwamba yuko incharge...Wenyewe wanamwita "Enigmatic" Mimi binafsi naamini huyu mtu maybe alishakufa wakasubiri kiaina kutangaza baada ya kuweka mambo sawa...

 
North Korean leader Kim Jong-il has died of a heart attack at the age of 69, state media have announced.
Millions of North Koreans were "engulfed in indescribable sadness", the KCNA state news agency said, as people wept openly in Pyongyang.
KNCA described one of his sons, Kim Jong-un, as the "great successor" whom North Koreans should unite behind.
Pyongyang's neighbours are on alert amid fears of instability in the poor and isolated nuclear-armed nation.
Continue reading the main story [h=2]“Start Quote[/h]
This could be a turning point for North Korea”
William Hague UK Foreign Minister

Fears were compounded by unconfirmed reports from South Korean news agency Yonhap that the North had test-fired a missile off its eastern coast before the announcement of Kim Jong-il's death was made.
Unnamed government officials in Seoul were quoted as saying they did not believe the launch was linked to the announcement. The South Korean defence ministry has declined to comment.
Following news of Mr Kim's death, South Korea put its armed forces on high alert and said the country was on a crisis footing. Japan's government convened a special security meeting.
China - North Korea's closest ally and biggest trading partner - expressed shock at the news of his death and pledged to continue making "active contributions to peace and stability on the Korean peninsula and in this region".
Asian stock markets fell after the news was announced.
 
Obama yuko kwenye dilema kwasababu kwa upande mmoja wanataka mabadiliko especially kuhusiana na kiongozi mpya wa North Korea na policies zao towards west and her regional interests ie South Korea, however on the other hand, hajui kama atoe kauli ya condolences kwa wananchi wa North Korea ama kama aendelee kulaani na kufurahia kuondoka kwa dear leader ama vipi?, maana asipofanya hivyo halafu ukute ndo itaharibu kabisa uhusiano endapo ungeweza kuwa better ama kuwa improved under a new leader "Great Successor"

Ndo hapo, nina amini atatoa kauli ya kinafiki tu kama kawaida yao, maybe somewhere btn condemning and condolences...
 
South Korea wamechukizwa na kitendo cha Japan kutoa condolences kwa wananchi wa North, so lets wait and see Obama na white house watakuja na kauli gani...

Kitendo cha kuwajali wananchi hao na kuwapa salam za rambi rambi wakati wa msiba vs kutokuwajali pia ni mizani mojawapo ya how to move forward...Depending on how it will affect the relationship with this new dynasty!

So kifo cha huyu jamaa kina implications nyingi sana...
 
Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!
 
Alale mahala pema peponi kamanda huyu. Alikufa Baba yake Mzee Kim Il Sung wakadhani ukomunisti umeisha akaja kamanda Kim Jong Il kazi palepale!! Sasa anakuja kijana Kim Jong Un ambaye hata Wamarekani walikuwa hawamjui!

New KIM

















[TABLE="class: ad_slug_table"]
[TR]
[TD="align: right"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]




 
Eti mental disability ndio ugonjwa uliomwua hahahhaha JF inafurahisha sana. Nimeshangaa kuona watu wazima wanalia kama watoto. Kweli walimpenda kiongozi wao na mapungufu aliyokuwa nayo. Hii ni maajabu 7 ya dunia!

Kama watu wengine duniani walivyokuwa wanatushangaa tulivyokuwa tunagala gala barabarani kumlilia Nyerere wakiamini ndio alietuletea umaskini mkubwa na kutubana sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…