Rais Kikwete ziarani ndani ya mkoa wa Ruvuma

Rais Kikwete ziarani ndani ya mkoa wa Ruvuma

Raisi ndio anaingia sasa hapa mbambabay,kimsingi,niliwaahidi wana jf ningewaletea tukio zima kuanzia ufunguzi wa daraja la ruhekei tatizo nililokumbana nalo huku maeneo mengi hayana network.mbambaby watu ni wengi ukifananisha na jana songea mjini.
 
Unatumia mili 500 kuzurara na kupiga picha kwenye project za kibiashara na zisizo na economic stimuli to the majority... Btw kuna ulazima gani kugharamia ziara non sense kama hizo huku uchumi wa jamii ukidorora hivi..!

Kana kwamba ukizindua mmoja unaibuka mwingine.Bongo bana,gharama za kuzindua ni sawa na dhamani ya mradi
 
sasa anaongea tibaijuka amesema kwamba mkataba wa mwaka 1890 Umetamka kwamba mpaka wa malawi upo yanapoishia maji upande wa mashariki mwa ziwa,tangu hapo hakuna mpaka mwingine uliwekwa hata hivyo mazungumzo yanaendelea vizuri hivyo wananchi hamna shida ya kuwa na hofu
 
prof.muhongo ameongea,membe na sasa anaongea magufuri
 
Hayo majukumu unayaonaje? anaumiza kichwa kuwaletea maendeleo watanzania.
Anatuletea watanzania su familia yake, ndugu zake na marafiki zake? Sidhani kama anazifahamu shida na matatizo yanayotukabili.
 
Awaagiz wachina walipe vibarua kama sheria zinavyotaka sio kuwalipa aflu nne kwa siku na matusi kibao,tatamadiba upo hap
 
jk yupo mbinga muda huu ktk ufunguzi wa stend mpya.maelfu ya wana nchi wamekusanyika eneo hili ya stend.msafara huo ni pamoja na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,mh magufuri nk.picha napost muda si mrefu
 
jk yupo mbinga muda huu ktk ufunguzi wa stend mpya.maelfu ya wana nchi wamekusanyika eneo hili ya stend.msafara huo ni pamoja na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,mh magufuri nk.picha napost muda si mrefu

vipi leo wanafunzi hawajalasimishwa kwenda kumpokea baba Riz1...
 
vipi leo wanafunzi hawajalasimishwa kwenda kumpokea baba Riz1...

unamaanisha hawa? SAM_2036.JPG
 
Pichaaaaa

zinapitishwa kwanza kwenye photoshop si unajua songea mhe aliaibika vibaya sana baada yabiwanja kujazwa na wanafunzi waliolazimishwa kwenda iwanjani hapo na alipoingia tu wakayoka karibu wote...
 
PICHA ZINAKUJAAAAAAAAA!!!!!! naona msururu wa amagari kama 100 hivi hahaha
 

Attachments

  • SAM_2040.JPG
    SAM_2040.JPG
    77 KB · Views: 59
  • SAM_2031.JPG
    SAM_2031.JPG
    83.1 KB · Views: 56
  • SAM_2027.JPG
    SAM_2027.JPG
    82.8 KB · Views: 57
  • SAM_2035.JPG
    SAM_2035.JPG
    86.3 KB · Views: 54
  • SAM_2033.JPG
    SAM_2033.JPG
    83.7 KB · Views: 52
wale walioomba pichaaaaa hizi hapa
 

Attachments

  • SAM_2099.JPG
    SAM_2099.JPG
    70.4 KB · Views: 53
  • SAM_2053.JPG
    SAM_2053.JPG
    79.7 KB · Views: 53
  • SAM_2088.JPG
    SAM_2088.JPG
    63.1 KB · Views: 54
Back
Top Bottom