Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Hahaha! Magari ya dar-South. Labda ingemchosha kidogo
Haaaaaaa kweli mkuu maana anapenda kuzurula kweli hata aibu hana
Hahaha! Magari ya dar-South. Labda ingemchosha kidogo
Huna adabu.M mbona sijanyonywa!!???..Manake Nna ham!!!!
Subiri utajuwa muda si mrefu maana ya sheria ya makosa ya mitandao.Sijaelewaa..😛😛😛😱😱
Subiri utajuwa muda si mrefu maana ya sheria ya makosa ya mitandao.
unaelewa nilichokiandika? soma tena nilichoandika. sijasema kuwa hasafiri, unakurupuka tu. tatizo lako na hao mbwa wenzako hamfikirii kabla ya kupost.Punguwani mkubw wewe..kama huna cha kuongea kaa kimya..JK anaondoka usiku wa leo kwenda australia kupitia Dubai huelewi nini sasa...
Baada ya juzi tu kutoka Uswisi, Mheshimiwa Rais Jakaya, Jumamosi wiki hii anaanza ziara ya kuaga nchini Australia.
Chanzo: Ndani ya Ikulu
Anaenda kuficha hisa za kampuni yake iliyonunua IPTL. Lazima ataongozana na mkwe wake Albert Marwa