Rais Kikwete ziarani Australia

Nasikia Greenland wanamngojea Huyu immature presida.
 
ahhahah kwan.wa australia ndio walimchagua kweli jamaa.ni zaidi vasco da gama mim ningependa kumwita Marco Polo
 
Hana shida wala hofu ya ccm kushindwa. anakwenda kuweka sawa makao mapya
 
Oh my ghosh! Huko hazina chenji itabaki kweli?
 
Kuna pending issues za Simba Trust za kumalizia.

Baada ya juzi tu kutoka Uswisi, Mheshimiwa Rais Jakaya, Jumamosi wiki hii anaanza ziara ya kuaga nchini Australia.Kuna pending issues za Simba Trust za kumalizia.

Chanzo: Ndani ya Ikulu
 
Huyu alipaswa kuwa Kondakta au Dereva
Kama Rais wa nchi hizi ni stahiki zake na juu yake binafsi kupima kipaumbele katika nchi yake.
Kuna ambao wana fursa za kutibiwa nje lakini wanaamua kutipiwa nchini,kuna waliopunguza marupurupu yao.
Kama binafsi ameona ni muhimu kwenda hatuwezi kuzuia wala kulalamika ila hofu ni hili kampuni amablo mmiliki amegoma kutajwa na BRELA na uandikishaji wake ulianzia Australia.
Nakupongeza JK umetumia nafasi ya U raisi vizuri lakini naamini kuna wataoteseka baada mno baada ya wewe kustaafu.
 
Hapana wazee kale kajamaa kanazurula usiku kucha kama kibaka kila siku kapo kwenye nchi za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…