Rais kikwete una moyo wa plastic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete una moyo wa plastic

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Jul 20, 2012.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kutokana na kuzama kwa meli ya Stargit kule Zanzibar kulikopelekea idadi ya Watanzania wengi kupoteza maisha na wengine miili yao kuendelea kuwa chini ya maji, nilitegemea Rais Kikwete na yeye angekuwa ni miongoni mwa viongozi wakubwa kabisa wa nchi kwenda na kuwatia moyo wafiwa na kuonyesha kuwa nao ktk kipindi hiki kigumu cha kuwakumbuka wapendwa wao waliofariki. Lakini cha kushangaza, anatuma salamu za rambirambi kupitia vyombo vya habari. Ni sawa kwa upeo wake na moyo wake usiyo na huruma, ananiacha najiuliza kwa nini alipofariki Msanii STEVEN KANUMBA Kikwete alienda na kukaa muda mrefu tu tena mpaka akapata na muda wa kuongea machache kwa waombolezaji?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo unampa kesi ya Bure japokuwa ni dhaifu bana..
  Alienda huko jana LIVE, japokuwa alikuwa anaongea huku akitabasaaamu!
   
 3. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulimboka!?
   
 4. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sasa atendaje akizama?
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kusearch information kabla hjaanza kulaumu utajikuta unahukumu bureeeeeeee
   
 6. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,214
  Likes Received: 1,335
  Trophy Points: 280
  sometimes vidole vinawasha
  na unahitaji kutype tu hata kama jambo halina maana
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  alikwenda jana japo alikuwa anachekacheka...not serious at all...huyu inaonekana wakati wa utoto alikuwa anatekenywa sana
   
 8. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ukome kutumia Password za watu,huna sifa za kuwem humu. Fundamental characteristic of Great Thinker is to think before Comment any thing!
   
 9. u

  usinizibemdomo Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ndo kaamka na hangover tele, tangu last week alikuwa kalala.... teh teh teh... kwi kwi kwi...
   
 10. u

  usinizibemdomo Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kweli we kicheche
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  "unanikumbusha ze utamu tena"ahh jamani!
   
 12. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huko hamna watu wenye hadhi ya kupiga naye picha
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa hili mwanangu Kichenchele umenoa. Kikwete ameenda na hupenda vitu kama hivi ili kujiongezea umaarufu.Ingawa jamaa ni wa dhaifu katika mambo mengi, kwenye hili la kuwahi misibani hana mfano. Laiti ungesema kuwa hakupaswa kwenda kutokana na roho kumsuta tokana na serikali yake kupuuzia mambo muhimu na kushupalia ya hovyo. Hapa suala la msingi ingekuwa kuhoji mantiki ya serikali kujifanya inawajali marehemu wakati haijali hadhari kwa ajili ya usalama wao.
   
 14. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  rais wetu anapenda wasanii wenzake
   
 15. A

  Andrew nerei Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman kwel ni mheshimiwa rais anaambiwa hv au naona vibaya 2we fair bas
   
Loading...