Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

Siku nyingine Chadema ikiwa inawakaribisha Makada wa Ccm iwasaidie kuandaa Hotuba za kuhama Chama. Ukisikiliza Hotuba za Sumaye na Makongoro Mahanga za kuhama Ccm unaweza kudhani ni Maigizo ya Wanasesere kumbe ni Wanasiasa wakubwa tu! Makongoro kahama kwa kuwa hakupanda kuwa Waziri Kamili nae Sumaye eti kuja Kuimarisha Ccm, anasema Anajua Pombe ni Kiongozi mzuri, Mchukia Ufisadi na hajatoa Rushwa ila anahama kwenda kuimarisha Upinzani!
 
Jamaa hajui kujieleza
 
JK anakichwa kigumu sana, angekuwa mwanamke angeshndwa kuelewa hata siku zake. Hawaelew watanzania ndio maana ameshndwa kupunguza umaskin nchi. Atamwelewa mke wake wakiwa faragha tu basi!
 
Mkuu kiukweli Sumaye alishindwa kujieleza..... pia amekuja UKAWA kwa nia mbaya!!!!!!!!!!!
 
Mimi nadhani kile kilikuwa kijembe, akisema kuwa yeye hana madhara yyt ndani ya CCM, sote tunajua sio kweli kwamba kutoka kwake hakuna madhara......alikuwa anafikisha ujumbe kwa wale wenye kudharau na kujifanya chama ni mali ya familia, hapo aligusia ukaskazini uliosemwa na mtoto wa Mkuu........
Nikweli hana madhara kwasababu kaondoka yeye wapiga kura kawaacha CCM....
 
Wajifunze hata katika historia sayid balghashi hakurajia wanyoge wa unguja wangejikwamua vile, watu tumechoshwa na uzabi-zabina wa ccm hata wakimbizanapo waliokasirishana ,ukimsikia yule wa nyuma anarembea matusi kwa wa mbele yake fahamu wazi mbio zimemshinda.!
Huo uzabinazabina walikuwa wanaufanya haohao kina Sumaye....... wakiwa CCM na sasa wanaataka kuufanya UKAWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yes nilimuelewa sana ... CCM haiwezi tena kuwaletea Watanzania maendeleo wayatakayo! Karne ya 21 hakuna maji mijini wala vijijini, hakuna huduma bora za Afya, Wazazi wanabeba mzigo mkubwa kusomesha watoto wao... Ameenda Upinzani ili kuwapa mbinu mkakati wa kuing'oa CCM madarakani ... Kama kusikia taabu then labda kwa ufafanuzi huu mtamuelewa tu ...
Wewe ulimielewa Sumaye?
 
Back
Top Bottom