Rais Kikwete safarini Marekani...

Status
Not open for further replies.
mwaka mmoja una siku 360.25 kwahiyo mheshimiwa ajalala nyumbani yapata mwaka na ushee daaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!"""""""!!!!
Mi zaidi ya hapo. Hiyo 410 (kama ni kweli) ni idadi ya safari. Na kila safari moja hutumia wastani wa siku kama 5 hivi. Kwa maana hiyo amekaa nje ya Tanzania kwa zaidi ya siku 2000...
 
Wao wakimaliza mihula yao huwa wanakuja kuaga?

Kibaya zaidi ataenda Dallas kwenye shughuli ya hovyo kabisa!Hapo 5 * hotel watz kupitia Diaspora wanachangishwa dola 80 kama unataka kuhudhuria mle nae ubwabwa!

Matumizi mabaya mno ya pesa zetu aisii
 

Hakuna popote Africa na hata Duniani kiongozi Mkuu wa nchi amewahi kuwa na ziara nyingi kama huyu wetu. Nasema hivi HAYUPO
 
jamaa anapapenda marekani! mimi nahisi atakuwa raia wa marekani aisee. khaa
 
Jamani Rais ajaye apunguze safari kama hizi za UN. Sio kila mwaka Rais aende UN!! Membe anatosha.
 
Kwa hiyo trillion 4 bado inazidi kuongezeka!???
Baadae itabidi tupige mahesabu ya ni misaada (MIKOPO) kiasi gani ilipatikana kutokana na safari hii. Nikiangalia haraka haraka haiwezi kufikia hizi trilion nne alizotumia kuitafutia, na tukumbuke kwamba hii mikopo yote interests zake ni za kufa mtu!
 

Mikopo ndiyo inayofanya safari,kwani Tanzania tunazalisha nini??Na mikopo mingine ndiyo inayofanyiwa UBADHIRIFU,wamejijengea majumba..................
 
Ndugu umejawa na chuki binafsi,,,,
kwanza ungejaribu kufuatilia ukweli wa habari yenyewe
Halafu ungejaribu kujua uhalali wa hiyo safari..

Siyo hivo povu linaning'inia mdomoni.

Chuki chuki
Mzee upo kwenye ka-trip nn!?
 
Mikopo ndiyo inayofanya safari,kwani Tanzania tunazalisha nini??Na mikopo mingine ndiyo inayofanyiwa UBADHIRIFU,wamejijengea majumba..................

Umesahau magari ya kifahari
 
Aingizwe katika kitabu cha maajabu 7 ya dunia. Nadhani amevunja rekodi.
 
Huyu baba haoni aibu jaman fedha zetu za kodi? Mbona hana huruma na watanzania wenzake!!
 
Siipendi CCM lakini ni kweli, anaenda kwenye kikao cha wakuu wa mataifa. Na kwa sasa yeye ndiye mkuu wa nchi yetu. Huko kuaga ni by the way tu.
Lakini huyu jamaa anaaga kila kona. Swali ni, nani atammiss?
 
ana aga ana aga ni nini tabia za kiswahili hizo
 
Bro get another cup of coffee malipo niachie mimi. Umemaliza kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…