Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Mlikosea na kina nani? Usitusemee watanzania ndiyo wamemchagua, wewe endelea kuichukia CCM angalia tu usipate ugonjwa wa moyo.Tulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Bavicha bana! Wewe humjui Mandela kaa kimya mara nyingi tu kaishaenda kutibwa Ulaya.Madiba pamoj na umuhimu wake kwa SA lakini hakupandishwa ndege kuvuka mipaka ya South kufuata matibabu nje....kwa hali hiyo si rahisi kuboresha hospitali zetu kwa kuwa wao wana fursa ya kwenda nje kwa gharama yoyote ya walipa kodi. Who cares daaah!!
Haya maneno mwambie Dr.Slaa ambaye alikwenda Ujerumani kutibiwa na girlfriend wake Josephine
Bavicha bana! Wewe humjui Mandela kaa kimya mara nyingi tu kaishaenda kutibwa Ulaya.
Pamoja kuwa ni tetesi kuna mod mmoja kafuta posts zangu kwa mahaba yake zingine kaziacha kazi kweli.Lakini ni tetesi! Mbona watu mmemshambulia badala ya kutudhibitishia kama kweli tumpe vidonge vyake au uongo!