Hilo ni sawa. Kuna mazuri amefanya?
Nadhani hata shetani naye ana mazuri aliyoyafanya , lakini hiyo haimuondolei ushetani wakeHilo ni sawa. Kuna mazuri amefanya?
Amevunja records kwa kuwa kiongozi wa kiafrica muungwana,mwanademokrasia,anayeheshimu utawala wa sheria,kipenzi cha watu na mwenye uzalendo wa kweli...Hilo ni sawa. Kuna mazuri amefanya?
Hilo ni sawa. Kuna mazuri amefanya?
Nadhani hata shetani naye ana mazuri aliyoyafanya , lakini hiyo haimuondolei ushetani wake
Amevunja records kwa kuwa kiongozi wa kiafrica muungwana,mwanademokrasia,anayeheshimu utawala wa sheria,kipenzi cha watu na mwenye uzalendo wa kweli...
...
Dah shame on you man. Jk karuhusu freedom of speech tunayo enjoy hapaNadhani hata shetani naye ana mazuri aliyoyafanya , lakini hiyo haimuondolei ushetani wake
Dah shame on you man. Jk karuhusu freedom of speech tunayo enjoy hapa
Vipi kuhuusu kampeni ya kutokomeza malaria, hata kama haitafanikiwa ameonyesha nia.
Sii,na hawezi kuwa nabii kamwe!!Miaka mitano ya urais wa JK ndio hiyo inaelekea kuisha. Kuna kila dalili kuwa atapendekezwa na chama chake kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Na pengine akaendelea kuwa Rais wetu kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Katika kipindi chake cha uongozi kwa hakika kumetokea mambo mengi tu na mengi mengine yanaendelea kutokea. Kama Rais, JK anawajibika kwa yote yanayotokea (mabaya na mazuri) katika nchi yetu. Kuna mengi mabaya kumuhusu JK tumekuwa tukijadiliana sehemu mbalimbali hususani hapa JF. Kuna wengine walienda mbali zaidi na kuorodhesha sababu zaidi ya hamsini, ni kwa nini JK hafai kuiongoza Tanzania.
Pamoja na mabaya yake, naamini kuna mambo mazuri amefanya. Kwa kutambua mazuri yake amewahi kutunukiwa PhD (ya heshima) huko Kenya na kuna taarifa kuwa atapewa PhD nyingine huko Uturuki.
Nadhani si vibaya tuanze pia kujadili mazuri aliyoyafanya kwa nchi yake (badala ya kutizama mabaya na kulaumu muda wote!). Unadhani ni kitu gani kizuri amekifanya katika kipindi cha utawala wake?
hizo degree anapewa kwa sababu wenzetu wanajuwa economic diplomacy na wanajuwa mzee wetu wa kudesa anapenda ujiko ......wakimpa degree za heshima inakuwa mswano....
......rais weak kuliko wote afrika mashariki na kati ni jk....kinachosaidia hadi sasa hatuyumbi ni misingi mizuri ya syetem ya nchi yetu na despline na professionalism ya vyombo vyetu.......
Ile phd ya kenya hakuna kazi aliyofanya..waliofanya kazi kubwa ni annan,mkapa na graca....yeye aliitwa siku ya kusaini..in his capacity as au chairman by then.......it was not a big deal at all.....na angekuwa ana akili ile phd angeipokea na ku dedicate kwa annan na kamati yake....kama kuonesha heshima kwao.....ange prove u falsafa....