Rais Kikwete: Nabii asiyekubalika nyumbani kwake?

Tatu infrastructure economy nani asiyeona idadi ya barabara zilizojengwa dar acheni kumsema huyu mbagamoyo kuna barabara kibao kilwa road kwenda mbagala, vingunguti, mikoa ya kusini lami tupu QUOTE]

MASTER GIVE US A BREAK...BARABARA NYINGI UNAZOONA ZINAJENGWA JK ALIKUTA MIKATABA IMESHASAINIWA TANGU....AWAMU YA TAU...

PROJECT ZA KIKWETE HASA KWA WATU WA DAR WANAZOZINGOJEA NI ..BARA BARA YA A.H.MWINYI-TEGETA,RING ROADS PROJECT[za ku releave foleni..kwa kuzipitisha pembezoi mwa jiji]...katika ring project..BARABARA YA MABIBO TO KARIAKOO that is JK BABY.....NYINGINE BARA BARA YA MSATA[inasua but imeanza]...pia tunasubiri FLYOVERS ZAKE..........ZAIDI YA HIZO BARABARA NYINGI ALIKUTA UTEKELEZAJI UMEANZA......
 
Sawa mkuu but kaa ukijua hata Big Ben alikuta project nyingi from awamu ya pili yeye akaendeleza but kuanzisha ni kazi but kuikamilisha ni kazi kubwa zaidi hivyo basi some of the credit still goes to Kikwete kama Mkapa alivyojizolea credit kwa madaraja ya kule Lindi ak.a. Daraja la Mkapa etc.

Kuhusu flyovers nadhani Vasco Da Gama wetu amechemka kwani elephant project na wazi anataka kutudanganya kwanza angelisolve mpangilio mbovu wa jiji la dar ndipo aje katika project kubwa kama hizi kimasingi hapa siko naye na wala simtetei kwani ni kweli amechemka.
 
..elimu?

..afya na maji?

..kilimo,ufugaji,uvuvi?

..ajira?

..miundombinu?

..utegemezi wa misaada na wawekezaji toka nje??

..jumuiya ya afrika mashariki?

..je, pato la Mtanzania wa kawaida limeongezeka? je, nafasi za kazi zimeongezeka? je, huduma za afya zimeboreka? je, elimu imeboreka?

..kwa mtizamo wangu, tunapiga mark time, pia inawezekana tunarudi nyuma lakini kwa kasi ndogo.
 
Tupe stats mzee
 
Amemweka Babu Seya na wanae nyuma ya pazia kwa miaka yao yote duniani so kawafanya wafunge ndoa na Gereza
 
Dah shame on you man. Jk karuhusu freedom of speech tunayo enjoy hapa

=========WazeeI hate to believe kwamba freedom of speech tuliyo nayo tumepewa na JK!Never now. Kama ilikuwa hivyo wakati wa Nyerere, siyo sasa kwamba head of state ndiye anayetoa freedom of speech. Tusimpe JK credit isiyo yake.Freedom of speech kwa amzingira ya sasa inajiunda. Tena ukiizuia, ndo unaiboresha haswa. Tumpe credit nyingine hii si yake.Credit ninayompa JK, ni stamina ya kufisadi nchi bila woga. Ni mkimya kwa maswala magumu na hii inalipa taifa usingizi wa uhakika.
 
huyu raisi kichaaaa tu
watu wanaiba pembe jeo za ma bilioni.

yeye yupo na jana ameenda sijui arabuni!
 
Mimi sioni zuri hata moja kwa kweli alichokifanya kama Rais,nasema toka moyoni..

Ulitaka akulipie ada za shule wanao? ukiwa mchoyo usiwe mroho pia! agh

Shule za msingi na sekondari zimejengwa chini usimamizi na utawala wake

Vyuo vya elimu na vyuo vikuu vimejengwa chini ya usimamizi na utawala wake

Barabara za mikoa, Maji mikoa na DSM zimejengwa chini ya usimamizi wake

Mafisadi wamepelekwa mahakamani chini ya usimamizi na utawala wake

Uhuru wa vyombo vvya habari, uwazi katika shuighuli za serikali (ndio maana malalamiko mengi kwakuwa mmepewa habari enzio hizo ilikuwa sirikali)

Peace, Foreign Direct Invesment increase, employment ..list goes on and on!
 
Mdondoaji;800150Kusema la haki mnyonge mnyongeni but haki yake mpeni. Kikwete kuna mazuri aliyoyafanya. Mosi hii nadharia ya utawala bora na misingi ya utawala bora isingelikuwapo ndani ya midomo yetu isingelikuwa kuwapo kwa uhuru wa vyombo vya habari (Big Ben alikuwa akisikia umemsema anatuma majasusi kukumaliza). Ndio maana hii leo tunaweza kuzungumza EPA, Import support, Radar ni kwasababu ameruhusu transparency katika utawala wa serikali.

What you mean kwamba nadharia ya utawala bora isingekuwepo?Unamaanisha JK ndiye aliyeleta nadharia hiyo?By the way,tunachohitaji sio nadharia bali vitendo.Kuna umuhimu gani wa kuwepo nadharia isiyofanyiwa kazi?Do you think JK angekuwa muumini wa nadharia hiyo tungeendelea kujiuliza Kagoda ni mdudu gani?Au unadhani angeruhusu ufisadi wa Richmond umalizwe kishkaji?Au angeendeleza indefinite deadline ya walaruShwa alodai anawafahamu?Na vipi kuhuu wale mafisadi wa Bandarini Dar aliosema anawafahamu na hajapeleka majina kwa wahusika hadi leo?

Kwa akili yako,unaona kuzungumzia EPA,Import support,Radar,na skandali nyingine kama hizo inatosha kumpongeza JK.Hebu jiulize,kuzungumzia huko kumebadilisha nini so far?Majambazi wa EPA bado wanatesa (I mean wahusika wakuu like Kagoda),Import support imeendelea kuwa ngonjera,Rostam anadaiwa mahela kibao na hajalipa hadi kesho,na kama ishu ya Radar Chenge ndio huyo bado mwenyekiti wa kamati ya maadili CCM!

Tatizo lako unadhani uhuru wa kuongea ni privilege anayotoa mtawala.Huo ni mtindikio wa upeo.That's your natural right,ndugu.

Pili amepitisha muswada wa kuseparate biashara na uongozi ambacho kimesaidia kupunguza walafi serikalini. Hii itasaidia hata wabunge wajao wafikirie waendelee na uongozi wa ubunge au wafanye biashara. Kwa hilo nakubaliana nae sana tu na namuombea lifanikiwe tutapata kuondoa pathetic leaders kama kina Lowassa katika serikali ambao wanakaa kwa maslahi yao binafsi.
Amepitisha Mswada?You mean JK amekuwa Bunge?Hivi unaelewa miswaada inapitishwaje?

Na hata angepitisha,you should remember survival ya CCM inategemea wafanyabiashara wenye fedha chafu.Na hata bila hilo,CCM ni moja ya taasisi inayojishughulisha na biashara ambazo kimsingi ni mali ya watanzania wote e.g. viwanja na kumbi mbalimbali nchini.Sasa unapozungumzia kutenganisha siasa na biashara inamaanisha CCM yenyewe iwe ya kwanza kuachana na biashara,au ichague biashara na kuacha siasa.Unless unataka ku-underline ule msemo wa kibiblia kuwa "fuateni ninachosema lakini sio ninachotenda".
Tatu infrastructure economy nani asiyeona idadi ya barabara zilizojengwa dar acheni kumsema huyu mbagamoyo kuna barabara kibao kilwa road kwenda mbagala, vingunguti, mikoa ya kusini lami tupu kitu ambacho kinasaidia uchumi wa nchi. Upanuzi wa bandari utakuza uchumi na pamoja viwanja vya ndege. Nia na madhumuni ni kwamba Tanzania iwe ni business centre. Just ask yourself why?? Tizama ni nchi iliyokuwa na financial and political stability in the past decade kwa east and central africa. Jibu unakuta ni bongo tu. Tizama the amount of FDI zilizowekeza Tanzania compare to the rest of East Africa. Kwa kweli amejitahidi but nadhani amekosa watu innovative kujaribu kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwani pamoja na mafanikio haya yamekuwa overshadow na viongozi walafi ambao wanafikiria kujinufaisha wenyewe without kuangalia wananchi matokeo yake pesa nyingi za maendeleo zinaenda mifukoni mwa watu
.

Kwa mtizamo wa aina hii CCM itatawala milele.Yani wewe kigezo cha maendeleo ni hizo barabara za hapo Dar.Umeshafika kijijini?Kwa akili yako,Tanzania means Dar es Salaam.Kigoma,Lindi,Mtwara,nk kwingine kulikosahaulika ni irrelevant.Na hizo barabara za Dar zimewasaidia vipi wakulima kusafirisha mazao yao?

Hiyo business na financial stability unayozungumzia ni kupanuka kwa empire ya akina Rostam au yale mabilioni ya JK ayaliyoishia mifukoni kwa mafisadi?Au unazungumzia stimulus package ya kisanii ambayo hatuelewi imetumikaje?

Halafu angalia unavyojiumauma.Sasa angekuwa kiongozi mahiri kama unavyojaribu kutuonyesha,how come then awe overshadowed na viongozi walafi kama yeye ni msafi?Kwani hao viongozi walafi alirithishwa au aliwateua yeye mwenyewe?

Tuje katika social welfare. Recently BOT walipewa pesa na World Bank kwaajili ya kuendeleza makazi mazuri ya mtanzania wa kawaida na kipato cha chini. Hizi pesa kama zitatumika inavyotakiwa na kutakikana basi makazi ya wananchi wa kawaida yataboreka (na sio makazi ya wafanyakazi wa BOT na mabosi wao). Kimsingi kama watatumia hizi pesa inavyotakiwa maisha bora ya mtanzania yatakuwapo na sio hivi sasa. Pia matumizi ya IT (Information Technology) ni jambo la kupewa heko kwani itaboresha mawasiliano, biashara na huduma za kibenki.

BOT my a*s.Hao majambazi wanaotumia mabilioni kuboresha makazi yao na huyo JK unayemsifia kakaa kimya kana kwamba ni ubadhirifu huo ni sera ya serikali yake!?Usiwe mzembe wa tafakuri.Tatizo sio kupewa misaada.Tumekuwa tukipewa misaada tangu tulipopata uhuru.La muhimu ni inatumikaje.Na hapo ndipo umuhimu wa uongozi bora unapohitajika.Misaada inatolewa inaishia kujenga mahekalu kwa mafisadi na kuongeza idadi ya nyumba ndogo zao,ma ma-vogue ya kutesa kwenye hizo barabara unazosifia hapo Dar!

Watatumiaje vizuri fedha hizo wakati huyo rais mwenyewe ni maarufu zaidi kwa kuuza sura na kuchekacheka majukwaani badala ya kuwachukulia hatua wanaoofanya ubadhirifu wa fedha za umma?

Maendeleo ya teknohama yanawanufaisha vipi walalahoi wasio na uhakika wa their next meal?Na ni walalahoi wangapi wanaomudu gharama za maunganisho ya intaneti (kwa mfano) licha ya majigambo ya JK wakati anazindua high-speed internet connectivity ya chini ya bahari?

Hayo ni baadhi tu mengineyo watajazilia wengine ila tatizo la Kikwete ni anashindwa kuweka msimamo wake na ndio kitu kinachofanya mafanikio yasionekane.
Sasa mbona mwenzetu umeweza kuyaona mafanikio yake japo unasema kinachofanya yasionekane ni kushindwa kwake kuweka msimamo?Na kiongozi gani mahiri asiye na msimamo?
Katika uongozi kama maisha kuna watu watakupenda na wengine kukuchukia but la msingi tanguliza misimamo yako. Kikwete anaogopa kuudhi watu akihofia ubadhirifu wa kiongozi but hilo ndio linalopelekea kukosekana uadilifu katika uongozi, watu kutoona mafanikio yake na mwishoe kudharaulika maana haongozi bali anaongozwa.Kikwete angelitanguliza misimamo yake wasingelikuwapo mawaziri wabovu kama akina simba kwani angelichagua mawaziri wanaokabiliana na misimamo yake na sio vengine
. Ahhaa,kumbe unafahamu fika kuwa JK ni kiongozi dhaifu lakini bado unamtetea kwa hoja za kujiumauma!
This I hope kama atachaguliwa tena 2010 hatalirudia ama sivyo atakumbukwa na legacy ya kiongozi asiyekuwa na msimamo !!!!
Huu ni outright upuuzi.Yani what you're suggesting ni kwamba achaguliwe tena ili arekebishe makosa yake ya kukosa msimamo!Hivi laiti nchi yetu ingekuwa binti yako,ungeweza kufanya majaribio ya kipunguani kama hayo?Say,kumruhusu binti yako azae na mtu mwenye ukimwi na kuangalia kama kitoto kitachozaliwa kitakuwa kimeambukizwa au la!Na kitoto kikizaliwa kimeambukizwa,what would you do?It's just exactly the same na unachojaribu kushauri hapa.Tumpe tena JK awamu nyingine kwa matarajio kuwa atarekebisha makosa yake.What if kama hatorekebisha?Tutarejeshaje miaka mitano (actually ni 10) tuliyopoteza kwa kumweka madarakani rais wa majaribio?

Na vipi kama baada ya kumpa tena nafasi JK,tunaishia kubaini kuwa kila raslimali ya nchi yetu imeuzwa kiufisadi,just like tulivyobaini ujambazi wa Mkapa baada ya kutoka Ikulu?Lawama kuwa "aaah tatizo la JK hakuwa na msimamo" zitasaidia nini wakati huo?

KAMA AMESHINDWA KATIKA MIAKA MITANO INAYOISHA HIVI PUNDE,ATAWEZAJE KWENYE MIAKA MITANO IJAYO?Kwa wishful thinking zako?
 
Ulitaka akulipie ada za shule wanao? ukiwa mchoyo usiwe mroho pia! agh

Shule za msingi na sekondari zimejengwa chini usimamizi na utawala wake

Vyuo vya elimu na vyuo vikuu vimejengwa chini ya usimamizi na utawala wake

Barabara za mikoa, Maji mikoa na DSM zimejengwa chini ya usimamizi wake

Mafisadi wamepelekwa mahakamani chini ya usimamizi na utawala wake

Uhuru wa vyombo vvya habari, uwazi katika shuighuli za serikali (ndio maana malalamiko mengi kwakuwa mmepewa habari enzio hizo ilikuwa sirikali)

Peace, Foreign Direct Invesment increase, employment ..list goes on and on!

No wonder CUF na CCM wamesaini mkataba... last time I checked Tumaini alikuwa akijiita kuwa ni CUF
 
Does it change anything keep on guessing kwamba mimi ni CUF! huwezi kusema hajafanya kitu kabisa hiyo ni kuwa unrealistic
 
Kiukweli mimi namkumbuka haya ya kwenye list of shame na naamini hadi vizazi vijavyo vitamkumbuka:-

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994.
Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote. Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo , SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.

Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada . Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto , Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika.

Akiwa kama Raisi Pia namkumbuka kwa kushindwa kuchukua hatua katika mambo yafuatayo ambayo yanalitia aibu taifa:-

•Kashfa ya Loliondo – ambapo urithi wa watoto wetu uliuzwa na umeendelea kuuzwa
kwa wageni.
•Kashfa ya IPTL -
•Kashfa ya Commodity Import Support
•Kashfa ya Mgodi wa Kiwira
•Kashfa ya Akaunti ya EPA
•Kashfa ya Meremeta Ltd, Mwananchi Gold, Deep Green Finance, na Tangold
•Kashfa ya Rada
•Kashfa ya Ununuzi wa Airbus
•Kashfa ya Ununuzi wa Gulfstream 500 (ndege ya Rais)
•Kashfa ya Richmond
•Kashfa ya Dowans
•Kashfa ya magari, silaha na helikopta za JWTZ
•Kashfa ya silaha haramu
•Kashfa za madawa ya kulevya
•Kashfa ya uuzwaji wa maeneo wazi
•Kashfa ya misamaha ya kodi ya Alex Stewart
•Kashfa ya Ujenzi wa Minara miwiliya Benki Kuu
•Kashfa ya uuzaji wa maeneo ya ufukwe Dar

Code:
Pia kwa kutotangaza mali zake na za familia yake at least Pinda alijaribu.
 
This is watsaaaaaap

JF bwana imejaliwa vichwa vyenye akili.
 
What you mean kwamba nadharia ya utawala bora isingekuwepo?Unamaanisha JK ndiye aliyeleta nadharia hiyo?By the way,tunachohitaji sio nadharia bali vitendo.Kuna umuhimu gani wa kuwepo nadharia isiyofanyiwa kazi?Do you think JK angekuwa muumini wa nadharia hiyo tungeendelea kujiuliza Kagoda ni mdudu gani?Au unadhani angeruhusu ufisadi wa Richmond umalizwe kishkaji?Au angeendeleza indefinite deadline ya walaruShwa alodai anawafahamu?Na vipi kuhuu wale mafisadi wa Bandarini Dar aliosema anawafahamu na hajapeleka majina kwa wahusika hadi leo?

Kwa akili yako,unaona kuzungumzia EPA,Import support,Radar,na skandali nyingine kama hizo inatosha kumpongeza JK.Hebu jiulize,kuzungumzia huko kumebadilisha nini so far?Majambazi wa EPA bado wanatesa (I mean wahusika wakuu like Kagoda),Import support imeendelea kuwa ngonjera,Rostam anadaiwa mahela kibao na hajalipa hadi kesho,na kama ishu ya Radar Chenge ndio huyo bado mwenyekiti wa kamati ya maadili CCM!

Tatizo lako unadhani uhuru wa kuongea ni privilege anayotoa mtawala.Huo ni mtindikio wa upeo.That's your natural right,ndugu.

Amepitisha Mswada?You mean JK amekuwa Bunge?Hivi unaelewa miswaada inapitishwaje?

Na hata angepitisha,you should remember survival ya CCM inategemea wafanyabiashara wenye fedha chafu.Na hata bila hilo,CCM ni moja ya taasisi inayojishughulisha na biashara ambazo kimsingi ni mali ya watanzania wote e.g. viwanja na kumbi mbalimbali nchini.Sasa unapozungumzia kutenganisha siasa na biashara inamaanisha CCM yenyewe iwe ya kwanza kuachana na biashara,au ichague biashara na kuacha siasa.Unless unataka ku-underline ule msemo wa kibiblia kuwa "fuateni ninachosema lakini sio ninachotenda".
.

Kwa mtizamo wa aina hii CCM itatawala milele.Yani wewe kigezo cha maendeleo ni hizo barabara za hapo Dar.Umeshafika kijijini?Kwa akili yako,Tanzania means Dar es Salaam.Kigoma,Lindi,Mtwara,nk kwingine kulikosahaulika ni irrelevant.Na hizo barabara za Dar zimewasaidia vipi wakulima kusafirisha mazao yao?

Hiyo business na financial stability unayozungumzia ni kupanuka kwa empire ya akina Rostam au yale mabilioni ya JK ayaliyoishia mifukoni kwa mafisadi?Au unazungumzia stimulus package ya kisanii ambayo hatuelewi imetumikaje?

Halafu angalia unavyojiumauma.Sasa angekuwa kiongozi mahiri kama unavyojaribu kutuonyesha,how come then awe overshadowed na viongozi walafi kama yeye ni msafi?Kwani hao viongozi walafi alirithishwa au aliwateua yeye mwenyewe?

BOT my a*s.Hao majambazi wanaotumia mabilioni kuboresha makazi yao na huyo JK unayemsifia kakaa kimya kana kwamba ni ubadhirifu huo ni sera ya serikali yake!?Usiwe mzembe wa tafakuri.Tatizo sio kupewa misaada.Tumekuwa tukipewa misaada tangu tulipopata uhuru.La muhimu ni inatumikaje.Na hapo ndipo umuhimu wa uongozi bora unapohitajika.Misaada inatolewa inaishia kujenga mahekalu kwa mafisadi na kuongeza idadi ya nyumba ndogo zao,ma ma-vogue ya kutesa kwenye hizo barabara unazosifia hapo Dar!

Watatumiaje vizuri fedha hizo wakati huyo rais mwenyewe ni maarufu zaidi kwa kuuza sura na kuchekacheka majukwaani badala ya kuwachukulia hatua wanaoofanya ubadhirifu wa fedha za umma?

Maendeleo ya teknohama yanawanufaisha vipi walalahoi wasio na uhakika wa their next meal?Na ni walalahoi wangapi wanaomudu gharama za maunganisho ya intaneti (kwa mfano) licha ya majigambo ya JK wakati anazindua high-speed internet connectivity ya chini ya bahari?

Sasa mbona mwenzetu umeweza kuyaona mafanikio yake japo unasema kinachofanya yasionekane ni kushindwa kwake kuweka msimamo?Na kiongozi gani mahiri asiye na msimamo?. Ahhaa,kumbe unafahamu fika kuwa JK ni kiongozi dhaifu lakini bado unamtetea kwa hoja za kujiumauma!
Huu ni outright upuuzi.Yani what you're suggesting ni kwamba achaguliwe tena ili arekebishe makosa yake ya kukosa msimamo!Hivi laiti nchi yetu ingekuwa binti yako,ungeweza kufanya majaribio ya kipunguani kama hayo?Say,kumruhusu binti yako azae na mtu mwenye ukimwi na kuangalia kama kitoto kitachozaliwa kitakuwa kimeambukizwa au la!Na kitoto kikizaliwa kimeambukizwa,what would you do?It's just exactly the same na unachojaribu kushauri hapa.Tumpe tena JK awamu nyingine kwa matarajio kuwa atarekebisha makosa yake.What if kama hatorekebisha?Tutarejeshaje miaka mitano (actually ni 10) tuliyopoteza kwa kumweka madarakani rais wa majaribio?

Na vipi kama baada ya kumpa tena nafasi JK,tunaishia kubaini kuwa kila raslimali ya nchi yetu imeuzwa kiufisadi,just like tulivyobaini ujambazi wa Mkapa baada ya kutoka Ikulu?Lawama kuwa "aaah tatizo la JK hakuwa na msimamo" zitasaidia nini wakati huo?

KAMA AMESHINDWA KATIKA MIAKA MITANO INAYOISHA HIVI PUNDE,ATAWEZAJE KWENYE MIAKA MITANO IJAYO?Kwa wishful thinking zako?

Ni mtazamo wangu na wewe unaruhusiwa kuwa na mtazamo wako. Anyway tuje katika hoja zako, hoja ya kwanza ulisema kuwa freedom of speech is a natural right yangu mie na wewe sasa nikuulize swali mlalahoi ni rais gani aliyekuwa anaruhusu mie na wewe tukawa tunaisulubu na kuisimanga serikali kwa uhuru. Mkapa alikuwa akitumia majasusi, Mwinyi makomredi, Nyerere system sasa je hiyo freedom ilikuwapo mbona unazungumzia vitu ambavyo ni non-sense kabisa. Ni nani hapa jamvini aseme alidiriki kuitamkia wazi serikali imeoza wakati wa mwinyi, nyerere na mkapa let alone kumkosoa rais kama hujaenda kujisaidia ndoo keko!!!!.

Tuje katika swala muswada bunge limepitisha muswada wa utawala bora ambao unatenganisha biashara na utawala. Lakini muswada huo ni serikali ndio iliyoundaaa na kurasijisha bungeni sasa nikuulize kuna miswada mingapi serikali imeikalia kujifanya bado inaishughulikia kwanini wauruhusu kama sio mtazamo wa rais kupendelea uongozi utenganishwe na shughuli za mtu binafsi. To me I think that is irrelevant unaposema hauna faida. Mkapa aliruhusu ndio matokeo yake Kiwira Coal mine, Meremeta Gold Mine etc. Sasa huoni kama hili jambo lina manufaa kwa jamii.

Kuhusu CCM mie siwafagilii na nakubaliana na mtazamo wako kwani hata mie sikubaliani nao kabisa but ngoja nikuulize ndani ya CCM nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi sasa hivi tukimtoa JK nani Lowassa?, Abdallah Kigoda, hakuna hata mmoja msafi humo ndani hadi Sitta mwenyewe anayejiita kiongozi wa kupambana na ufisadi tukitaka tutamfunulia madudu yake aliyoyafanya wakati akiwa Tanzania Investment Centre na pia wakati akiwa NDC sasa kwakweli sijaona kiongozi msafi CCM hata kidogo.

Kuhusu infrastructure economics sidhani hata katika nchi zilizoendelea projects zote zinaenda kwa wakati mmoja. Bali zinaenda kwa awamu kutegemeana na umuhimu wake. Unadhani soko la wakulima wa tanzania liko wapi mzee? Wakulima wako wakijengewa barabara halafu jijini dar, arusha barabara zikawa mbovu haya mazao yatafika???? Zungumza jambo ukiwa na akili timamu na sio umelewa kuendelezwa kwa miji ya kibiashara na muhimu kwani ndio soko kuu la mazao na hasa kwa tanzania ukichukulia wakulima wetu kuuza mazao nje ni ndoto. Usidhani kutawala nchi ni kama kuongoza kajumba kako!!!!

Kikwete hajashindwa miaka mitano bali ameiingia na kukuta madudu yaliyofanywa na mwenzie aliyemtangulia ambayo yakamuharibia muelekeo wa utekelezaji wa sera zake. Likewise kaa mkijua kuwa hali ya uchumi wa kidunia pia imeterereka kutokana na kuanguka kwa sekta ya fedha. Zote hizi ukizichanganya unakuta ni bahati mbaya uongozi wake umekutana na masaibu hayo na sio majaribio kama unavyotaka kuileta kwani hali hiyo tuliipata wakati wa 1979-1982 tukilishwa unga wa njano na sukari guru.

Kuhusu kuchaguliwa tena mie ukitaka msimamo wangu ni kwamba aje mgombea binafsi asimame kwa reputation yake kwani sijaona CCM wala wapinzani kama kuna mtu anafaa kuingoza hii nchi. Kwasababu mosi rais nayemtaka nataka awe mwadilifu, mchapakazi ya pili na tatu awe na akili na busara. Sasa katika sifa ya uadilifu sijaona anayenifaa mie na hivyo basi ni bora aendelee aliyepo anaweza kujirekebisha au aje mgombea binafsi kwani msimamo wangu ni independent voter
 
Amemweka Babu Seya na wanae nyuma ya pazia kwa miaka yao yote duniani so kawafanya wafunge ndoa na Gereza

Una ushahidi wa hizi tuhuma ?.,wanaojua ukweli wa hili sakata ni kina Babu Seya wenyewe na hao wahanga wa hilo tukio.,tuachane na hizi unfounded allegations.,hapa simtetei JK lakini naogopa sana kumtuhumu kwa kitu ambacho hakijawa proved..,anyway tukiachilia hilo nadhani mazuri yake ni machache kuliko mabaya.
 
Back
Top Bottom