Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
Amemleta Drogba..
Amemleta Etoo...
Amemleta Bush...
Amemleta Maximo...
Ameleta kombe la dunia na tukapiga nalo picha..
Rais wa kwanza toka Africa kumtembelea Obama
Amewakaribisha wasanii wa bongo flava ikulu kupiga nao stori
Ameendesha mahojiano ya ana kwa ana live kupitia luninga....
Mhudhuriaji mzuri kwenye misiba,graduations na birthdays..(hata walalahoi tulipata nafasi ya kumshika mkono).
Kuna mwaka Miss Utalii ilitaka kushindikana kufanyika kwa kukosekana fedha ,akaiokoa na ikafanyika
Sasa watz wenzangu hapo nyumbani mngeyaona wapi yote hayo ???asili ya binadamu ..akiondoka ndiyo mtamkumbuka kwa 'mema'...
Hii uliisahau pia;
1.Raisi wa kwanza TZ kutembelea sokoni Tandale na kushikashika maharage pale sokoni.
2.Raisi wa kwanza TZ kuingia gerezani na kuongea na wafungwa.
3.Raisi wa kwanza Duniani kutuambia tushangilie timu yetu ya taifa kwa kufungwa 5-1 na Misri eti kwa kuwa ndiyo tunaanza soka!
4.Raisi wa kwanza Duniani kusema hajui ni sababu zipi zinaifanya nchi yake isiendelee lakini bado anataka kuendelea kuwa raisi!!