Rais Kikwete na Mama Salma wakiwa na Mzee Mandela wakati wa Uhai wake.
That's goodRais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
...mbona kama anashangaa,afu wenzake wanaangalia the oposite direction...
JK uzuri wake yuko fasta kuchangamkia fursa
tatizo watendaji wake
nice really
Sasa tufanyeje?
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
Picha kwa hisani ya Ikulu
sasa jk nae mbona anakimbelelee kama kibonde... yeye anakuwa mtambulishaji kama nani!?
...mbona kama anashangaa,afu wenzake wanaangalia the oposite direction...