Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,723
- 8,077
Nini tofauti ya ardhi iliyopimwa na isiyopimwa?Hit Who, Me?!..lol!
FYI, Mimi nimezaliwa peasant katika familia ya wakulima na wafugaji, nimezaliwa kijijini, nimechunga ndama na mbuzi, babu zangu waliacha eneo la zaidi ya ekari 800 huko kanda ya ziwa, maisha yote tumeishi kijima ni mimi ndiyo nimekuja kufanya documentation na wanachungia ng'ombe ndugu na jamaa mpaka sasa. Mimi nina eneo linakaribia ekari mia4 nyanda za juu, liko well documented, na sasa natafuta eneo lingine la ekari laki moja! Mimi ni mkulima, mimi ni mfugaji makini, nahakikisha eneo lolote nnamiliki KIHALALI na KISHERIA! Wanakijiji wengi hawaijui sheria ya ardhi ya nchi yao ndiyo maana hawaishi kulalama, nyie mliokwenda shule kidogo badala ya kuwaelimisha mnawafundisha ubaguzi, SHAME!
CC: MSHINO
When it comes to ownership.