Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,444
- 2,153
Asante kwa ufafanuzi, maana watu wanaropoka tu!
Inashangaza sana. Watu wanaandika kwa ushabiki tu bila facts zozote. Prof Shem ni mtanzania mtusi, kama ambavyo kuna watanzania wenye asili ya Asia, somalia, Malawi, n.k. lakini bado ni watanzania. Na hilo shamba ni haki yake kabisa. Mgogoro umeletwa na wakorofi wachache wenye kutaka kuonewa huruma hata pale wasipo na haki.