Rais Kikwete kweli ni Jembe

Rais Kikwete kweli ni Jembe

Kikwete ni muungwana sana,anasakamwa kwa sababu ya ustaarabu wake
 
Kikwete ameijenga demokrasia ya kweli tanzania ndio maana tunakesha hapa jf kujadili mambo mbalimbali kwa uhuru, bt wajinga wachache wanautumia uhuru huo kwa kuropoka na kutukana
 
Ebooooo huu si upoyoyo, hivi kama umeweza kuorodhesha utumbo wote huo halafu itakuwaje usiweze kuorodhesha utumbo mwingine wa majibu ya utumbo wako wa awali!?!?.
Mjenga umedhihirisha Upoyoyo wako hadharani tena bila chenga,unaonekana ni mtu wa kukurupuka na ambaye huwezi kujenga hoja,badala ya kujibu swali unazungukazunguka bila kutoa majibu.
Aliyesema kuwa kuna watu wana akili za SAMAKI hakukosea maana nakuona wewe ni mmoja wao.
 
Back
Top Bottom