TZ TUSIANGAMIE
Member
- Jan 4, 2014
- 60
- 31
Rais jakaya Kikwete kesho asubuhi na mapema atakuwa akipiga kura sambamba na mwanae asubuhi na mapema., Kama mwana Chalinze atatimiza haki yake ya kimsingi... Bonge la boost kwa Riz moko...
Mkuu, hiyo ni sawa na kutumbukiza sarafu chooni.Mimi mwenyewe nitamkataa Riz ktk kura ntakayopika ktk shule ya msingi Mbwewe,nitaipa chadema hata isiposhinda.
Kama wewe gambaz wanavyokukurupukia.Watu wanakurupuka sana humu
Hivi mbunge wa jimbo la Bagamoyo ni nani vileeee!
Jimbo la Chalinze lipo Wilaya ya Bagamoyo.
Hivi mbunge wa jimbo la Bagamoyo ni nani vileeee!
Na kayumba imeletwa na MagambaLabda nikusaidie tuu maana inaonekana wewe nchi hii huijui vizuri sijui mnyarwanda... Msoga ipo jimbo la Chalinze lakini ukitoka Dar kiurahisi kufika unapitia bagamoyo bwana... Ubaya wenu wengi kayumbaaaa..!