Rais Kikwete kupiga kura Chalinze kesho

Rais Kikwete kupiga kura Chalinze kesho

JK sio mkazi wa jimbo la Chalinze.
hata uchaguzi uliopita alipiga kura katika jimbo lake la Msoga bagamoyo.
Tujikumbushe. mwaka 2010.
jk+apiga+kura.JPG

Rais Jakaya Kikwete leo ameongoza Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Maadiwani na Rais Abeid Amani Karume akiongoza kwa upande wa Zanzibar. Pichani rais Kikwete akipiga kura yake kijiji cha Msoga, mkoa wa Pwani.
Msoga ni moja kati ya kata 15 za jimbo la chalinze.. kata jirani na kata hii ni msata na Lugoba.
 
quote_icon.png
By Ndibalema
JK sio mkazi wa jimbo la Chalinze.
hata uchaguzi uliopita alipiga kura katika jimbo lake la Msoga bagamoyo.
Tujikumbushe. mwaka 2010.

Ndibalema
Kata za chalinze
1. Miono
2. Bwilingu
3. Pera
4. Lugoba
5. Msoga
6. Talawanda
7. Msata
8. Ubena
9. Mandela
10. Kiwangwa
11. Kibindu
12. Fukayosi
13. Kimange,
14. Mbwewe na
15. Mkange
 
JK sio mkazi wa jimbo la Chalinze.
hata uchaguzi uliopita alipiga kura katika jimbo lake la Msoga bagamoyo.
Tujikumbushe. mwaka 2010.
jk+apiga+kura.JPG

Rais Jakaya Kikwete leo ameongoza Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Maadiwani na Rais Abeid Amani Karume akiongoza kwa upande wa Zanzibar. Pichani rais Kikwete akipiga kura yake kijiji cha Msoga, mkoa wa Pwani.

Kaka ndibalema ni jimbo la chalinze kijiji cha msoga
 
Back
Top Bottom