Rais Kikwete hajatoa salamu X-mass?

Rais Kikwete hajatoa salamu X-mass?

mnataka kusema angetoa hizo salam zingepunguza makali ya sikukuu! nyie kaeni na kuchoka kwenu au mlitaka awakaribishe mkale sikukuu kwake? huyo ndiyo rais wetu bwana kwanza handsome na pili kijana! mnataka rais aweje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom