Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Bado anayo nafasi ya kutubu.Nafsi inamshtaki!! Hana raha.
Kama ni kweli basi hii ni noma sana, labda wamechanganyikiwa na habari zilizoandikwa kule Guardian hivi karibuni na kujichanganya kwa Ngeleja mara mgao sasa ni history na baada ya siku chache mgao wa nchi nzima unatangazwa tena.
Nimejaribu kutega sikio radioni, tv na magazeti, vichache ya vyombo vya habari sikubahatika kuona, soma au sikia alamu zake, napenda wanaofahamu wanijulishe nipate nami kuliwazwa na maneo ya busara na hekima za rais wetu kututakia Watanzania sikukuu njema ya Noeli.