Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

appriciator

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
276
Reaction score
46
Rais Kikwete baada ya kupokea malalamiko juu ya ajira kwa wageni kutoka TUCTA Mheshimiwa Rais katika hotuba yake ya Mei mosi alitangaza nia yake ya kupeleka mswada bungeni ili kubadilisha sheria ili mamlaka ya utoaji vibali kwa wageni viwe vinatolewa na mamlaka moja badala ya ilivyo sasa. Kwa maana hii amedhamiria vibali vitolewe ama na Idara ya kazi au Idara ya Uhamiaji pekee.

Ikumbukwe hivi sasa maombi ya ajira kwa wageni yanatipishwa kwa kushirikiana na pande zote mbili, yaani maombi yanaanzia Ofisi ya Kazi kisha vibali vinamalizikia kutolewa na Ofisi ya Uhamiaji. Kwa maana nyingine Uhamiaji hawawezi kutoa kibali bila ya Ofisi ya Kazi kupitisha. Hivyo ni wazi moja yati ya Idara hizi kutokana ubinafsi na tamaa imejenga ushawishi ili itoe vibali peke yake. Mheshimiwa Rais akiingia kwenye mtego huu na akikubali vibali kutolewa na Idara moja atakuwa anafanya makosa makubwa sana.

Kwa vile kila Ofisi yati ya hizi ofisi mbili ina umuhimu wake, kwa upande wa Idara ya kazi ni wataalamu wa ajira na Uhamiaji ni chombo cha Ulinzi na Usalama katika masuala ya wageni wana mfumo wa kuwatambua wageni wakorofi nchini na duniani.

Mheshimiwa Rais kabla ya kufikia tamati ya uamuzi wa kufanya mabadiliko anapaswa kutafakari yafuatayo:-
1. Kama tatizo ni kupewa vibali wageni wasiyostahili je tatizo liko wapi wakati Ofisi zote mbili wanashughulikia kupitisha maombi ya hivyo vibali.
2. Je matatizo ya ajira kwa wageni malalamiko yanalingana na ukubwa wa tatizo au ni tabia tu ya watanzania kulalamika hata kwa tatizo dogo? Ikumbukwe nchi hii ina Raia wengi wenye asili ya kihindi hivyo isichukuliwe kuwa kila mhindi ni mgeni.
3. Je kuna wageni wangapi waliopewa vibali ambao wanakosa sifa ya kuajiriwa?
4. Je kama Tanzania kuna uholela wa kupewa vibali mbona nchi zingine za EAC wanatulalamikia kwa kubana utuaji wa vibali?
5. Ili tusiwe kituko. Je nchi nyingine dunia vibali vya kazi kwa wageni vinatolewa na mamlaka gani?
6. Kwa upande wa Usalama wa kudhibiti wageni hali ya Tanzania ikoje kulinganisha na nchi jirani?
7. Tusiingie kwenye mkoroganyo kama ulizikumba Sekta za Elimu, Kilimo na Serikali za Mitaa uliotokana na mabadiliko yaliyokuwa akifanywa bila kufanya utafiti wa kutosha na matokeo yake kuwa kero zaidi na kushindwa kupiga hatua.

Nimeona Mheshimiwa Rais nije na ushauri huu kwa vile nina uzoefu kwa kiasi fulani na suala la vibali vya ajira kwa wageni, tulishawahi kuzifanya shughuli hizi na Mheshimiwa William Ngereja tukiwa katika makampuni tofauti za ushauri consultancy wakati huo kabla hajawa Mbunge wala Waziri hivyo ni vyema pia ukamwita Mheshimiwa Ngereja anajua sana juu ya utendaji wa Ofisi hizi jinsi zinavyoshughulikia maombi ya ajira kwa wageni adhani atakupa ushauri mzuri. Namshauri Mheshimiwa Rais afanye subira akutane na watendaji na wataalamu kisha ili aweze kulitambua tatizo kwa undani zaidi kwa kuangalia pande zote mbili za shilingi.
 
Sijaona tatizo na nia hiyo,wafanyakazi wengi wageni kwa sasa ni economic migrants na sio experts kama unavyojaribu kuhadharisha.angalia angola na mozambique .lazima tu centralise na hizo kazi zitangzwe nchini kwanza.huwezi niambia security manager,facilities manager na hr manager wa kampuni anatokea nje.lazma tuweke mipaka.uingereza wamefuta visa ya domestic worker kwa manufaa ya waingereza.hii sheria ni kwa manufaa ya waTanzania
 
Hayo yote ndivyo hata hapa kwetu taratibu za ajira kwa wageni zinavyotaka .Ndiyo maana nikashauri kama maombi yanapitia kwenye nyombo vyote husika na utaalamu wa ajira na uthibiti wa wageni kwa nini chombo kimoja wapo king'ang'anie kiombe kufanya peke yake lazima Rais ajiulize kunani ?
 
Ni wakati mzuri kuangalia upya utaratibu wa kutoa work permit kwa wageni. Tatizo lipo kwenye kutoa incentives kwa wawkezaji. Chini ya certificate ya TIC , investor anaruhusiwa kuleta experts na hapa ndipo abuse inapotokea. Kuna haja pia kuangalia hii sheria sambamba pia na hii sheria mpya inayofikiriwa.
 
Kila taasisi inavutia ulaji kwake

Hawa dawa yao waachwe hivyohivyo kwa nini mpaka taasisi moja ifikie kuomba kwa Rais ifanye kazi peke yake wakati nao hivi sasa wanahusishwa kupitisha maombi hili Mheshimiwa Rais anatakiwa awe makini sana
 
Ni wakati mzuri kuangalia upya utaratibu wa kutoa work permit kwa wageni. Tatizo lipo kwenye kutoa incentives kwa wawkezaji. Chini ya certificate ya TIC , investor anaruhusiwa kuleta experts na hapa ndipo abuse inapotokea. Kuna haja pia kuangalia hii sheria sambamba pia na hii sheria mpya inayofikiriwa.
Sawa sheria inatoa nafasi kwa muwekezaji kuleta wageni watano zaidi wanaowataka, ikumbukwe hapa suala la vyeti halitaangaliwa pia kwenye sekta maalumu kama vile mafuta, gesi, na migodi mikubwa mwekezaji anaruhisiwa kuomba zaidi ya idadi hiyo, hii mimi sioni kama kuna ubaya.
 
Hata kuwe na ch/vyombo 1,2,3,4 .............. vinavyohusika kutoa permit maadamu serikali ni legelege haitaweza kamwe kusimamia hizo sheria regardless of vyombo vitakavyohusika kutoa permit. Mathalani sheria iko wazi kabisa inasema kwamba MGENI atapewa kibali cha kufanya kazi nchi kama hiyo POST hakuna Mtanzania mwenye ujuzi nayo. Lakini nenda kwenye hayo makampuni uone kama METL hadi HRs na Chief security guards ni wahindi na wa Pakistani. Ina maana Tanzania hatuna kabisa vijana walio graduate kwenye fani ya HR? au vijana waliomaliza JKT/Mgambo kuwa security guards? Hao TIC ndiyo bure kabisa, sasa hivi wanatoa vibari kwa Wachina eti kama wawekezaji kumbe ni machinga wanauza simu mikononi.
 
mh rais yuko sahihi sana na apo katumia hekima kuondoa urasimu, mm ningekuwa karibu naye nimgemshauri idara ya uhamiaji ndo iangaike na wageni, wakishakuja kama wageni ndo waombe ajira...aya ya mtu kuona nafasi then anatumbukia si sawa, aje kama mhamiaji then ndo aombe kazi alafu idara husika ya kazi inaweza kukomfemu uhamiaji kama uyo mtu ni halali kuwepo nchini basi...Mh rais songa mbele, tatizo umeliona!
 
mkuu unaongelea asili ya mtu au uraia?? maana hata akina shivji na baadhi ya akina kumar ni asili ya wahindi lakini ni watz kamili...ila nakubali kuwa shida kubwa ipo..pia umenikumbusha wachina wanaopita pita hostel za mlimani za kike sio tu kuuza simu, wanauza brezia used na chupi za mtumba pamoja na vile vijitabu vya dini, utacheka ufe!!na wanachukua tenda kwa simu unataka chupi ngapi nk nk,,,tanzania ni nchi moja ya vituko duniani!
 
Point yako ya 2 sijaipenda. Eti ni tabia ya watanzania kulalamika hata kwa kitu kidogo. Unataka umuonee mtu alafu asilalamike? Hicho kitu unachokiita kidogo ambacho hakifai kulalamikiwa kinapimwa kwa mizani gani ili tujue kikubwa ni kipi na kidogo ni kipi? Unapowapa ajira wakenya, wakati watanzania wenye sifa zinazotakiwa wapo, unataka watanzania wasilalamike? Au na wewe ndio hao hao mnaoendkeza rushwa ili mtoe upendeleo kwa wageni?
 
mh rais yuko sahihi sana na apo katumia hekima kuondoa urasimu, mm ningekuwa karibu naye nimgemshauri idara ya uhamiaji ndo iangaike na wageni, wakishakuja kama wageni ndo waombe ajira...aya ya mtu kuona nafasi then anatumbukia si sawa, aje kama mhamiaji then ndo aombe kazi alafu idara husika ya kazi inaweza kukomfemu uhamiaji kama uyo mtu ni halali kuwepo nchini basi...Mh rais songa mbele, tatizo umeliona!
Haina haja ya kuondoa urasimu kwa wageni. Tutakapoondoa urasimu kwa waheni maana yake unataka kutoa mwanya zaidi kwa wageni. Inabidi tutambue kuwa Tanzania ndiyo kuna kiwango kikubwa cha usalama kilinganisha na majirani zetu na hii inatokana na urasimu huohuo. Tuwe wazalendo mie naona utaratibu ulipo sasa wa utoaji wa permit kwa wageni unafaa uendelee kwa vile unafaa katika udhibiti
 
Sijaona tatizo na nia hiyo,wafanyakazi wengi wageni kwa sasa ni economic migrants na sio experts kama unavyojaribu kuhadharisha.angalia angola na mozambique .lazima tu centralise na hizo kazi zitangzwe nchini kwanza.huwezi niambia security manager,facilities manager na hr manager wa kampuni anatokea nje.lazma tuweke mipaka.uingereza wamefuta visa ya domestic worker kwa manufaa ya waingereza.hii sheria ni kwa manufaa ya waTanzania

Acha waruhusiwe kuweka wataalamu wao kwenye sekta ya fedha na menejimeti ya ulinzi maana nikikumbuka tukio la Barclays Bank la hivi karibuni la Mameneja kuhusika na Askari Polisi wetu kweli inatia shaka
 
Sekta binafsi kwakweli imekuwa kero sasa kwa kuwaajili wageni! Sina taaluma kubwa ya hili lakini something should be done kwakweli.
 
Point yako ya 2 sijaipenda. Eti ni tabia ya watanzania kulalamika hata kwa kitu kidogo. Unataka umuonee mtu alafu asilalamike? Hicho kitu unachokiita kidogo ambacho hakifai kulalamikiwa kinapimwa kwa mizani gani ili tujue kikubwa ni kipi na kidogo ni kipi? Unapowapa ajira wakenya, wakati watanzania wenye sifa zinazotakiwa wapo, unataka watanzania wasilalamike? Au na wewe ndio hao hao mnaoendkeza rushwa ili mtoe upendeleo kwa wageni?
Samahani kwa kukukwaza sikuwa na nia mbaya lakini ndivyo watanzania tulivyo jakuwa siyo wote na ndiyo maana nikashauri Mheshimiwa Rais aangalie kwa mapana. Je hao wageni wengi wanaolalamikiwa tatizo ni kubwa kiasi gani? Je wanatanzania wanafahamu kuwa si kila mhindi ni mgeni? Maana kuna wahindi wengi wapo nchini lakini kisheria ni raia wa Tanzania
 
Hata kuwe na ch/vyombo 1,2,3,4 .............. vinavyohusika kutoa permit maadamu serikali ni legelege haitaweza kamwe kusimamia hizo sheria regardless of vyombo vitakavyohusika kutoa permit. Mathalani sheria iko wazi kabisa inasema kwamba MGENI atapewa kibali cha kufanya kazi nchi kama hiyo POST hakuna Mtanzania mwenye ujuzi nayo. Lakini nenda kwenye hayo makampuni uone kama METL hadi HRs na Chief security guards ni wahindi na wa Pakistani. Ina maana Tanzania hatuna kabisa vijana walio graduate kwenye fani ya HR? au vijana waliomaliza JKT/Mgambo kuwa security guards? Hao TIC ndiyo bure kabisa, sasa hivi wanatoa vibari kwa Wachina eti kama wawekezaji kumbe ni machinga wanauza simu mikononi.

Hao wachina waliopo wengi wao wanakuwepo nchini kwa sababu zifuatazo:-
- Wameajiriwa kwenye miradi mikubwa kama barabara na viwandani wanapooneka wanafanya shughuli ndogondogo ni kama kazi ya ziada ‘part time job'
- Ni jamaa wa watumishi/wafanyakazi ‘dependants' wenye ajira rasmi
- Wamefika nchini kwa ziara ya muda mfupi ‘visitors' lakini wakaamua kubangaiza.
Kwa maana nyingine hakuna anayepewa permit na Serikali kwa ajili ya kuuza simu na chupi.

Sekta binafsi kwakweli imekuwa kero sasa kwa kuwaajili wageni! Sina taaluma kubwa ya hili lakini something should be done kwakweli.
Si kila mtu mweupe ni mgeni, wengi wao ni raia kwa kisheria.
 
sijaona tatizo na nia hiyo,wafanyakazi wengi wageni kwa sasa ni economic migrants na sio experts kama unavyojaribu kuhadharisha.angalia angola na mozambique .lazima tu centralise na hizo kazi zitangzwe nchini kwanza.huwezi niambia security manager,facilities manager na hr manager wa kampuni anatokea nje.lazma tuweke mipaka.uingereza wamefuta visa ya domestic worker kwa manufaa ya waingereza.hii sheria ni kwa manufaa ya watanzania

mleta mada ni mhamiaji haramu, wageni watuachiee kazi zetu.
 
Rais Kikwete baada ya kupokea malalamiko juu ya ajira kwa wageni kutoka TUCTA Mheshimiwa Rais katika hotuba yake ya Mei mosi alitangaza nia yake ya kupeleka mswada bungeni ili kubadilisha sheria ili mamlaka ya utoaji vibali kwa wageni viwe vinatolewa na mamlaka moja badala ya ilivyo sasa. Kwa maana hii amedhamiria vibali vitolewe ama na Idara ya kazi au Idara ya Uhamiaji pekee.

Ikumbukwe hivi sasa maombi ya ajira kwa wageni yanatipishwa kwa kushirikiana na pande zote mbili, yaani maombi yanaanzia Ofisi ya Kazi kisha vibali vinamalizikia kutolewa na Ofisi ya Uhamiaji. Kwa maana nyingine Uhamiaji hawawezi kutoa kibali bila ya Ofisi ya Kazi kupitisha. Hivyo ni wazi moja yati ya Idara hizi kutokana ubinafsi na tamaa imejenga ushawishi ili itoe vibali peke yake. Mheshimiwa Rais akiingia kwenye mtego huu na akikubali vibali kutolewa na Idara moja atakuwa anafanya makosa makubwa sana.

Kwa vile kila Ofisi yati ya hizi ofisi mbili ina umuhimu wake, kwa upande wa Idara ya kazi ni wataalamu wa ajira na Uhamiaji ni chombo cha Ulinzi na Usalama katika masuala ya wageni wana mfumo wa kuwatambua wageni wakorofi nchini na duniani.

Mheshimiwa Rais kabla ya kufikia tamati ya uamuzi wa kufanya mabadiliko anapaswa kutafakari yafuatayo:-
1. Kama tatizo ni kupewa vibali wageni wasiyostahili je tatizo liko wapi wakati Ofisi zote mbili wanashughulikia kupitisha maombi ya hivyo vibali.
2. Je matatizo ya ajira kwa wageni malalamiko yanalingana na ukubwa wa tatizo au ni tabia tu ya watanzania kulalamika hata kwa tatizo dogo? Ikumbukwe nchi hii ina Raia wengi wenye asili ya kihindi hivyo isichukuliwe kuwa kila mhindi ni mgeni.
3. Je kuna wageni wangapi waliopewa vibali ambao wanakosa sifa ya kuajiriwa?
4. Je kama Tanzania kuna uholela wa kupewa vibali mbona nchi zingine za EAC wanatulalamikia kwa kubana utuaji wa vibali?
5. Ili tusiwe kituko. Je nchi nyingine dunia vibali vya kazi kwa wageni vinatolewa na mamlaka gani?
6. Kwa upande wa Usalama wa kudhibiti wageni hali ya Tanzania ikoje kulinganisha na nchi jirani?
7. Tusiingie kwenye mkoroganyo kama ulizikumba Sekta za Elimu, Kilimo na Serikali za Mitaa uliotokana na mabadiliko yaliyokuwa akifanywa bila kufanya utafiti wa kutosha na matokeo yake kuwa kero zaidi na kushindwa kupiga hatua.

Nimeona Mheshimiwa Rais nije na ushauri huu kwa vile nina uzoefu kwa kiasi fulani na suala la vibali vya ajira kwa wageni, tulishawahi kuzifanya shughuli hizi na Mheshimiwa William Ngereja tukiwa katika makampuni tofauti za ushauri consultancy wakati huo kabla hajawa Mbunge wala Waziri hivyo ni vyema pia ukamwita Mheshimiwa Ngereja anajua sana juu ya utendaji wa Ofisi hizi jinsi zinavyoshughulikia maombi ya ajira kwa wageni adhani atakupa ushauri mzuri. Namshauri Mheshimiwa Rais afanye subira akutane na watendaji na wataalamu kisha ili aweze kulitambua tatizo kwa undani zaidi kwa kuangalia pande zote mbili za shilingi.

kwa mtazamo wako unakumbatia rushwa za uhamiaji. Hata idar ya kazi ikitoa vibali vya kazi, uhamiaji bado itahusika kuwatambua wageni wakorofi. Wasiwasi wako unatoka wapi? Je hao wachina waliojaa katika mitaa yetu waliruhusiwa na idara ya kazi au immigration?
 
Acha kutudanganya hujui kwa kiasi gani hao Wahindi-Watanzania wanavyokwapa kodi! jiulize wao wanamakampuni makubwa na viwanda karibu vyote wanamiliki wao lakini mbona kodi hawalipi? Nenda kwenye maduka ya wahindi mitaa ya posta ni wagumu wa kutoa risiti, wanakula rushwa na wakubwa. Makampuni mengi ya wahindi utakuta wameleta ndugu zao kutoka India wengine hawana hata elimu ya chuo hata cha ufundi wakija ndiyo wanapewa usimamizi na mhindi boss anakulazimisha mtanzania umfundishe muhindi mwenziye kazi.
Mwisho kabisa hakuna mhindi hata aliyezaliwa Tanzania anayemwamini mtanzania hata nafasi za juu makampuni yote ya wahindi utakua ni wahindi tu.

Back
Top Bottom