Majuzi tu kaishia kupokewa na sungusungu na meya wa mji. Katika huo mkutano aliohudhuria rais wa nchi alikuwa peke yake. Nchi nyingine zilituma wakurugenzi wa idara na mawaziri. Hii ndio faida?
rais mpya JK kasafiri safari ngapi?mlinganishe na NYERERE aliyekaa madaarakani miaka 23
Niangalie kwani nimekosa nini.
Kundi kubwa linaloongozana nae litakuwa ni majanga kama halisachiwi wakati baadhi wanabena mibegi mikubwa kama pickup kama wanahama nchiItabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.
[h=3]RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS[/h]
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?
Kundi kubwa linaloongozana nae litakuwa ni majanga kama halisachiwi wakati baadhi wanabeba mibegi mikubwa kama pickup kama wanahama nchiItabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.
[h=3]RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS[/h]
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?
yawezekana hata familia tu inakusumbua ya jk utayaweza kama wanaume unakuwa mbea kiasi hiki kuzua uongo huyo mkeo sijui kama utaweza kumuongoza.
Wivu tu hamna lolootee acha aende ht zifike 1000 ndo stahili yake
Kundi kubwa linaloongozana nae litakuwa ni majanga kama halisachiwi wakati baadhi wanabeba mibegi mikubwa kama pickup kama wanahama nchi
Dunia nzima...Sema Tanzania nzima...
Jibu swali uliloulizwa,,Jamaica alienda kufanya nini? Au ndo matokeo ya ile Meli yenye Bangi?
haya ndiyo madhara ya bangi mbichi.
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.
RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.
RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?
[h=3]Rais Jakaya Mrisho Kikwete aitimisha ziara ya siku nne nchini Jamaica[/h]
Rais Kikwete na waziri mkuu wa Jamaica Mhe. Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi yaTanzania na nchi ya Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara ya siku nne ya kiserikali nchini humo
Rais Kikwete akiagana na Gavana Jenerali wa nchi ya Jamaica Mhe. Patrick Allen katika uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Kingston Jamaica wakati wa kuitimisha ziara yake nchini humo
Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa nchi ya Jamaica mheshimiwa Bruce Golding wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na jamaica
Wivu tu hamna lolootee acha aende ht zifike 1000 ndo stahili yake
378-400=22 hizi tumpe miezi miwili