Ana Ubinadamu?? mwambie J.K. akamtoe kwanza kifungoni Babu Seya wa watu ndipo tuongelee ubinadamu wake!!Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake hawataki.Hivyo nachukua nafasi hii kuwalaani MPs wote wa sisiem.
hata mimi kama gogo la shamba pamoja na kuwa chadema damu,nimemkubali Kikwete kwamba ni Rais wa watanzania wote na mwenye kujali maslahi ya taifa na laiti wangekuwapo viongozi wawili ndani ya ccm kama kikwete nchi hii igekuwa mbali kwa kila kitu au ingetokea wasaidizi wake wangekuwa na dhamira njema kama yeye tanzania ingekuwa nchi ya mfano Afrika, Mungu ampe umre mrefu,nina imani hata kama kitatawala chama kingine mchango wake utaitajika sanaMkuu kama viongozi wa kisiasa wote wangekuwa kama jk taifa hili lingepiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo,
Jk amekuwa kimbilio la kila mtu na kila kundi kwa kweli mfanowe hakuna,
wewe ni mzandiki, mambo mangapi kafanya mazuri? mbona chadema hivisasa wamemzulu kijana yatima hapa Sanawali kiwanja chake? au huu ndio ubinadam?Hiv hata nafsi haikusuti unaposema wanawatetea maskin?Lini wabunge wa chama tawala waliwatetea wananchi maskin kwa dhati mbali na unafiki na uigizaji?
kweli wewe ni kiplate umejazwa ujinga na wewe unalipuka nayo kama ulivyomeza. akili ndogo kazi sana.Hiv hata nafsi haikusuti unaposema wanawatetea maskin?Lini wabunge wa chama tawala waliwatetea wananchi maskin kwa dhati mbali na unafiki na uigizaji?
🤣Madhara ya kuamkia na bia za kuhongwa...