Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

Huu uzi utajaa matusi, ngoja nikimbie zangu mapemaaaaa!

Kulikuwa na ulazima gani wa yeye kumteua kipindi hiki cha lala salama? Kwanini asimuachie magufuli Rais wa ccm ateua mtu kwenye Hiyo nafasi?
 
Mkuu sasa itabidi amuachie JP Magz nae walau awe na nafasi mbili tatu za kuchagua watu wake,
 
Magufuli atateuliwa xn....bado haijafikia.muda wa.kushauliwa kidiplomasia...hapa napo atashauliwa na kutendewa xn
 
Magufuli onyesha ubabe wako kwa kutengua teuzi zote za JK alizofanya kipindi cha lala salama uone kama hatutakushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…