Mkuu, soma vizuri. Ni kwamba JK kapongeza manispaa ya Moshi kwa kutekeleza Ilani ya CCM na si ya CHADEMA.Hana jinsi lazima aseme ukweli.. Ila kuna mijitu hapa itaona wivu tuuu na kuponda hata mambo ya msingi.
​kumbe wanafiki mnajuanaHizo pongezi za JK ni dhihaka kwa chadema. Hamjui tu.
Hapo hakuna cha unafiki bali ni uhalisia​kumbe wanafiki mnajuana
Wewe Mamndenyi bure kabisa. Toka ujitoe ufahamu unachekesha sanaKwenye ukweli uongo unajitenga.
Imebidi akubali tu matokeo.
Hizo pongezi za JK ni dhihaka kwa chadema. Hamjui tu.
Wewe Mamndenyi bure kabisa. Toka ujitoe ufahamu unachekesha sana
Sidhan hata mlimani city ilicost hiyo hela
Kwamba maCCM sehemu nyingine wameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, ila CDM imeweza kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCMHapo hakuna cha unafiki bali ni uhalisia